Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk John Magufuli akizuru kaburi la Baba wa Taifa marehemu Julius Nyerere, katika Kijiji cha Mwitongo, wilayani Butiama, Mkoa wa Mara jana , aliposimama kwa muda akielekea kwenye mkutano wa kampeni wilayani huo leo. Kulia ni Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mara, Christopher Sanya.
Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, John Magufuli akiweka shada la la maua alipozuru kaburi la Baba wa Taifa marehemu Julius Nyerere, katika Kijiji cha Mwitongo wilayani Butiama, Mkoa wa Mara, aliposimama kwa muda akienda kufanya mkutano wa kampeni wilayani huo. PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG
Msanii Dokii na Mwakilishi wa watu wenye ulemavu Aman Mpanju wakiweka mashada ya maua kwenye kaburi hilo
Dk Magufuli akiwasha mishumaa alipozuru kaburi hilo leo
Dk Magufuli, Waziri Mkuu wa zamani, Joseph Warioba, wasanii na viongozi wengine wakiwa na mashada ya maua wakijiandaa kuweka kweenye kaburi hilo
Dk Magufuli akijinadi kwa wananchi mjini Butiama leo
Baadhi ya wananchi wakiwa wamejikinga na kwa kutumia bendera wakati wa mkutano huo
Dk Magufuli akiwanadi wagombea ubunge; Profesa Sospeter Muhongo (kushoto) wa Jimbo la Musoma Vijijini na Nimrod Mkono wa Jimbo la Butiama
Wananchi wakishangilia baada ya kumuona Dk Magufuli alipokuwa akihutubia na kujinadi katika mkutano huo wa kampeni mjini Butiama
Profesa Muhongo akikabidhiwa Ilani ya Uchaguzi na Dk Magufuli. Pia Mkono naye alikabidhiwa Ilani hiyo
Mgombea urais wa Ta nzania kupitia CCM, John Magufuli akikwasalimia wananchi huku akiwa na kifimbo alichozawadiwa na Wazee wa Kimila wa Kabla la Wazanaki wakati wa mkutano wkampeni wilayani Butiama alioufanya baada ya kuzuru kabila la marehemuBBaba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere Nyerere katika Kijiji cha Mwitongo
Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, John Magufuli akimuonesha Waziri Mkuu wa zamani, Jaji mstaafu Joseph Warioba kifimbo alichokabidhiwa zawadi na na Wazee wa Kimila wa Kabla la Wazanaki wakati wa mkutano wa kampeni wilayani Butiama alioufanya baada ya kuzuru kabila la marehemuBBaba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere Nyerere katika Kijiji cha Mwitongo jana. Kulia ni Mjumbe wa kamati ya kampeni za CC
Dk Magufuli akiwasili kuanza kampeni katika mkoa wa Mara baada ya kumaliza katika Mkowa wa Tanga
Dk Magufuli akimsalimia mtu mwenye ulemavualipowasili
Dk Magufuli akisalimiana na Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki, ShyRose Bhanji wakati wa mapokezi
Chifu wa Wazanaki, Japhet Wanzagi akisalimiana na Dk Magufuli. Kulia ni Makongoro Nyerere
Dk Magufuli akikabidhiwa zawadi ya Kifimbo cha Mwalimu Nyerere wakati wa mkutano huo wa kampeni wilayani Butiama
10 comments:
Tatizo letu waafrica tunaamini uchawi hivi kwenda kweye kaburi la Nyerere kwani Nyerere in mungu
He was human being like u and me
Maendeleo ya Tanzania yategemei msingi wa Nyerere
He was leader ktk wakati ule in ujinga na upumbavu kufikiria the past
You Tanzanian think about present and future
Oops
Nyerere kawa mungu wa ccm
Mtaomba sana kwenye kaburi hilo
Maendeleo ya Tanzania hayatokani na imani hizo
People need change
Kama mnafikiri kwenda kwenye kaburi la mwl mtapata baraka zake shahs uni he is gone and never come back again
Na hasa mkienda kwa unafiki laana itawapata
Sasa huu ni ushabiki usio kuwa na busara. Hivi mtu akienda kaburini kumtembelea marehemu ndugu yake, rafiki yake au mtu anaye mthamini kuna ubaya gani! Duniani kote watu wanakwenda makaburini kutoa heshima zao kwa wanao wathamini na hakuna yeyote anaye kwenda huko kwa matarajio kuwa atamkuta marehemu wake amebadilika kuwa Mungu! Hivi wakati wa siku kuu kama za mashujaa ambazo tumekuwa tunasherehekea kuwaenzi marehemu mashujaa wetu na hata viongozi (duniani kote) wanakwenda makaburini kuweka mashada ya maua ndio tuseme kuwa tunafanya hivyo kwa ajili ya kuamini uchawi au kuona marehemu hawa baada ya kututoka hapa duniani wamebadilika na kuwa Miungu? Hebu tuache kejeli hizi zisizo na maana na tuzungumizie jinsi gani tutaijenga nchi yetu. Mwenyezi Mungu ziweke roho za marehemu wetu mahali pema peponi. Amina.
You're in urgent need of a psychiatrist!
Another SoB in urgent need of a psychiatrist!
Heri yao CCM wana mungu muadilifu. UKAWA wana mungu kafiri kuliko shetani!
Mbowe, mbatia, lisu wameshadhuru kaika kaburi la nyerere si mara moja wala mbili leo iwe kioja kwa magufuli kufanya hivyo hata lowasa atakapopita butiama katika kampeni zake atadhuru kaburi la nyerere sasa nyinyi mnaosema nyerere mungu wa CCM kwa kweli mnaropokwa tu hamjui mnacho kisema.
How do you feel now??
How do you feel now??
Post a Comment