Advertisements

Sunday, September 27, 2015

DKT FENELA AIBUA MATUMAINI MAPYA JIMBONI KIBAMBA

dkt fenela mukangara akiwa na mumewe prof mukangara kwenye mkutano wa kampeni za ccm Jimbo la kibamba kwenye uwanja wa msigani tanesco
mamia ya wananchi wa kibamba wakimsikiliza dkt fenela mukangara.
dkt fenela mukangara akihutumia wananchi wa jimbo la kibamba kwenye viwanja vya msigani tanesco.
dkt fenela mukangara akipongezwa na mumewe prof mukangara mara baada ya kuhutubia mkutano wa kibamba.

No comments: