Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia gharika ya wananchi wa Makambako mkoani Iringa ambako alipita leo kumalizia viporo vya mkoa huo kwenye kampeni zake.
Wananchi kwa maelfu wakimsikiliza Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia huko Makambako mkoani Iringa ambako alipita leo kumalizia viporo vya mkoa huo kwenye kampeni zake.
Wagombea wa nafasi mbalimbali wa Mafinga wali-Magufulika mbele ya Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM Dkt. John Pombe Magufuli katika jimbo la Mafinga mkoani Iringa ambako alipita leo kumalizia viporo vya mkoa huo kwenye kampeni zake.
MGOMBEA ubunge jimbo la Mafinga Mjini kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi ( |
Mgombea Ubunge Jimbo la Mufindi Kaskazini, Mahamudu Mgimwa akidhihirisha kuwa yupo fiti. Picha na Ahmad Michuzi Jnr.
1 comment:
Magufuli style hapa kazi tu. Nashangaa kwanini anaendelea na kampeni wakati watanzania na polls zote zinaonyesha tayari wameshamchagua kwa roho safi kuwa yeye ni mtu pekee anaestahiki kuwa raisi wa nchi kwa hivi sasa.
Post a Comment