Kundi linalotengeneza DMV All Stars wakishambulia jukwaa katika tamasha la Swahili Fest lililofanyika siku ya Kumapili Septemba 20, 2015 Bladensburg, Maryland. Picha na Vijimambo Blog, Kwanza Production.
DMV All Stars wakilishambulia Jukwaa
DMV All Stars wakilishambulia Jukwaa
DMV All Stars wakilishambulia Jukwaa

Mr TZ akiimba singo yake mpya

Mr TZ akiimba singo yake mpya
Prince Herry akiimba singo yake mpya aliyemshirikisha msani wa kizazi kipya wa Bongo Flava Recho Bofya soma zaidi kuisikiliza na kuangalia Video
No comments:
Post a Comment