Asante sana Mwenyekiti hapa DMV kwa kutujulisha na kuweza kukanusha hili jambo la uzushi. Mimi mwenyewe nimeisoma habari hii siku ya leo jioni tarehe 18, na kusikitishwa na uongo mkubwa wa aina hii!! Kwa kweli kama tunahitaji kuendesha siasa basi tuwe wakweli na inaelekea aliyeanzisha hii Uzi ni mtu mwenye ubaya wa hali ya ju na chuki za binafsi. Tunaelewa kabisa Slaa alikuja Marekani na sio mara yake ya kwanza kuja na hakutani na wana CDM! Hilo ni moja pili akijua amefanya mambo ya ajabu kipindi hiki iweje leo wana CDM DMV wawe naye? Mh. F Mbowe naye si kwamba amepokelewa kama alivyodai huyu mdau kuwa alipokelewa Dulles Airport na hatimaye anasema wako hoteli moja huko OHIO!!! inadhihirisha wazi uongo ulivyo komaa! kwani hapa DMV hakukuwepo na haoteli za kufikia hadi wasafiri kwenda Ohio. Na Slaa maskani yake muda wote anaokuja Marekani hajawahi kwenda Ohio!! leo iweje kaenda OHIO? Wakati ana wenyeji wake mji (utafute mwenyewe)!. Mwenyekiti naungana nawewe na wapenda haki wote na wanaCDM hapa DMV kwa uzushi na uongo mkubwa ndani ya jamii forum! na umma wa waTANZANIA. Hayo unayoyatafute mdau sidhani kama utafanikiwa na utabakia copy na paste inayofanywa na wenyewe waliochoka !. Safari ni ile ile ilivyokusudiwa na Mungu anawapenda waTanzania kuwatoa utumwani Misri.! Asante/
1 comment:
Asante sana Mwenyekiti hapa DMV kwa kutujulisha na kuweza kukanusha hili jambo la uzushi. Mimi mwenyewe nimeisoma habari hii siku ya leo jioni tarehe 18, na kusikitishwa na uongo mkubwa wa aina hii!! Kwa kweli kama tunahitaji kuendesha siasa basi tuwe wakweli na inaelekea aliyeanzisha hii Uzi ni mtu mwenye ubaya wa hali ya ju na chuki za binafsi. Tunaelewa kabisa Slaa alikuja Marekani na sio mara yake ya kwanza kuja na hakutani na wana CDM! Hilo ni moja pili akijua amefanya mambo ya ajabu kipindi hiki iweje leo wana CDM DMV wawe naye? Mh. F Mbowe naye si kwamba amepokelewa kama alivyodai huyu mdau kuwa alipokelewa Dulles Airport na hatimaye anasema wako hoteli moja huko OHIO!!! inadhihirisha wazi uongo ulivyo komaa! kwani hapa DMV hakukuwepo na haoteli za kufikia hadi wasafiri kwenda Ohio. Na Slaa maskani yake muda wote anaokuja Marekani hajawahi kwenda Ohio!! leo iweje kaenda OHIO? Wakati ana wenyeji wake mji (utafute mwenyewe)!.
Mwenyekiti naungana nawewe na wapenda haki wote na wanaCDM hapa DMV kwa uzushi na uongo mkubwa ndani ya jamii forum! na umma wa waTANZANIA. Hayo unayoyatafute mdau sidhani kama utafanikiwa na utabakia copy na paste inayofanywa na wenyewe waliochoka !. Safari ni ile ile ilivyokusudiwa na Mungu anawapenda waTanzania kuwatoa utumwani Misri.! Asante/
Post a Comment