ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, September 30, 2015

KUTOKA UWANJA WA JAMHURI MOROGORO HII NDIYO YANGA 2 MTIBWA 0


Baada ya kuvunja uteja kwa watani wao wa jadi Simba Taifa sasa waendeleza kuvunja uteja ndani ya uwanja wa jamhuri wakiwazamisha walima miwa wa mashamba ya mtibwa kwa bao 2 bila majibu. Mtibwa wapisha njia wenyewe kwa kulala na kipigo sawa na walichopewa Simba jumamosi iliyopita.


Yanga sasa mambo mbele kwa mbele wanazidi kuwa watamu uwanjani.


MSIMAMO LIGI KUU TANZANIA BARA || 2015/16

Mechi 5, points 15, magoli 13, kufungwa 1 tu. Safari hii naona wale "MAJIRANI WAPIGA KELELE" wamekaa kimya kabisa, ni ishara kwamba wameukubali mziki wa Jangwani, husikii wakisema Tigo Pesa, M-Pesa wala CRBD Bank.


No comments: