Jumapili ya tarehe 13/9/2015 ilikuwa siku ya furaha kwa bi Lucy Kiwia na familia nzima baada ya yeye Lucy kufunga pingu za maisha na bwana Asanteeli. Harusi hiyo iliyojaa mashamsham na furaha tele ilifanyika huko Baltimore Maryland. Kipekee kabisa harusi hiyo ilifanyika ndani ya Spirit of Baltimore-Cruise Ship ndogo ambayo wakati wote wa shughuli hizo ilikuwa ikirandaranda ndani ya bahari ya Atlantic na baadae ilisafiri kutoka Baltimore hadi Washington DC na kurudi tena Baltimore kupitia mto Potomac mto unaozunguka eneo hili la DMV hapana Marekani. Timu ya Vijimambo blog inawapongeza na kuwatakia maisha mema bi Lucy Kiwia na Asanteeli.











No comments:
Post a Comment