Mke wa Mgombea Urais wa CCM,Mama Janeth John Magufuli akiwasalimia wananchi wa Chato na kuwaomba ridhaa ya kumchagua mumewe Dkt John Pombe Magufuli kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika awamu ya tano,kwenye uchaguzi mkuu unaotarajiwa wa Oktoba 25 mwaka huu.
Mara bada ya kuhutubia chumba chetu cha habari kilihemewa na simu za wadau mbalimbali kutoka ndani na nje ya nchi kuelezea furaha yao sio tu kwa kumuona jukwaani bali pia kwa kuongea kwa kujiamini. Mama Magufuli amekuwa haonekani sana kwa sababu ya kuuguza mgonjwa nyumbani kwao Chato. Wamesema wametiwa moyo sana na haiba ya Mama Magufuli na wameshangazwa kwa uwezo wake mkubwa wa kuongea mbele za watu bila woga na bila kumung'unya maneno.
Wananchi wa Chato wakimshangilia Mama Magufuli kwa shangwe kwenye mkutano wa hadhara wa kampeni uliofanyika katika uwanja wa shule ya sekondari Chato mkoani Geita.
4 comments:
Oops kaibuka bibi mafunguo
Alikuwa mafichoni
Kujifunza jinsi ya kuongea Kama mtangulizi
Na kangaa Mwl wetu unatumia cream gani
Yetu macho jukwaa haliwezi shurti Kwa mawani
Wewe andika unachotaka lakini huyu ndiye atakayekuwa First Lady kuanzia mwezi ujao.
Awe First Lady labda kwa goli la mkono
Atashika chaki mbuyuni mpka anatastafu
Wewe udumae hivyo hivyo tu tarehe 10/25 utamuona Ikulu.
Post a Comment