Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCm, Mama Samia Sukuhu Hassan, akihutubia umati wa wananchi katika mkutano wa kampeni uliofanyika leo kwenye Viwanja vya Ikulu, Bagamoyo mkoa wa Pwani. (Picha na Bashir Nkoromo).
Mgombea Ubunge jimbo la Bagamoyo, Shukuru Kawambwa akiomba kura baada ya kutambulishwa na mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan Katika mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika Uwanja wa Ikulu mjini Bagamyo.
Mjumbe wa NEC, Livingstone Lusinde akihutubia umati wa wananchi katika mkutano wa kampeni uliofayika leo katika jimbo a Bagamoyo mkoa wa Pwani
Mjumbe wa NEC, Livingstone Lusinde akipongezwa na Mgombea Ubunge jimbo la Chalinze, Riziwani Kikwete baada ya kuhutubia mkutano wa kampeni uliofanyika leo kwenye Viwanja vya Ikulu, Bagamoyo, mkoa wa Pwani.
Wananchi wakiwa kwenye mkutano wa kampeni wa mgombea mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCm Mama Samaia Suluhu Hassan uliofanyika leo kwenye Viwanja vya Ikulu, jimbo la Bagamoyo mkoani Pwani
Mbunge wa Bagamoyo mkoani Pwani, Skuhuru Kawambwa akipasha na vijana wake, wakati wa mkutano wa kampeni za CCM uliofanyika leo kwenye Viwanja vya Ikulu mjini Bagamoyomkoa wa Pwani.
Waingizaji wa filamu za Bongo Movie, wakiserebuka uwanjani wakati wa mkutano wa akampeni wa Mama Samia uliofanyika leo kwenye Viwanja vya Ikulu mjini Bagamoyomkoa wa Pwani.
Wananchi wakiwa na bangola kumfagilia Mma Samia wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika jimbola Bagamoyo mkoa wa Pwani.
Mwanamke wakiwa na bango la Mgombea URais kwa tiketi ya CCM, Dk. John Magufuli katika mkutano wa kampeni za CCm uliofanyika leo kwenye Viwanja vya Ikulu, Bagamoyo mkoa wa Pwani.
2 comments:
Yaani kila kukicha ni ahadi hewa na zisizotekelezeka? Hivi kweli mgombea unaahidi kuwa nitahakikisha namaliza tatizo la umeme!! Haya ni mazingaumbwe hata kwa kipofu haelewi. Hili ni tatizo sugu na hata majuzi Tanesco wanatuambia nchinitakuwa giza juma zima hii ni maajabu kwani haiwezi kufanya hilo zoezi na bado. umeme ukawaka. Kwa msingi huo basi uzalishaji mzima unategemea umeme wa nchi nzima nzzimahivyo litakuwa tatizo endelevu. Hebu tuacheni kudanganyana.
Asante mama na kuahidi neema wakati watu wamejichokea na maisha magumu hata kuwapeleka watoto shule inashindikana. Wazazi tunachoshwa na ada kubwa. Inabakia vijana kujiajiri kuokota plastiki na biashara barabarani kila siku miji inafurika wavijana ambao wangekuwa mashuleni na inachangia uporaji bado tunaahidiwa neema.
Post a Comment