Advertisements

Thursday, September 17, 2015

MGOMBEA MWENZA WA UKAWA JUMA HAJI DUNI AFANYA MIKUTANO YA KAMPENI URAMBO, TABORA

Mgombea Mwenza wa Ukawa kupitia Chadema, Juma Haji Duni akihutubia mamia ya wakazi wa jimbo la Urambo Mashariki mkoani Tabora wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika kwenye uwanja wa Mwananchi Square. (Picha na Francis Dande)
Mgombea Mwenza wa Ukawa kupitia Chadema, Juma Haji Duni (kushoto) akimkabidhi kadi ya Chadema aliyekuwa Mjumbe wa Kamati ya Siasa ya CCM Kata ya Ugala Urambo, Tabora, Hamidu Mussa baada ya kukiahama chama hicho na kujiunga na Chadema wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika jana katika uwanja wa Mwananchi Square.
Mgombea Mwenza wa Ukawa kupitia Chadema, Juma Haji Duni (kushoto) akimkabidhi kadi ya Chadema aliyekuwa Mjumbe wa Kamati ya Siasa ya CCM Kata ya Ugala Urambo, Tabora, Rashid Bihogora baada ya kukiahama chama hicho na kujiunga na Chadema wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika katika uwanja wa Mwananchi Square.
Naibu Katibu Mkuu wa CUF, ambaye ni mgombea ubunge wa Ukawa jimbo la Kaliua kupitia CUF, Magdalena Sakaya  akihutubia mkutano wa kampeni uliofanyika kwenye uwanja wa Mwananchi Square Urambo, Tabora.
Naibu Katibu Mkuu wa CUF, ambaye ni mgombea ubunge wa Ukawa jimbo la Kaliua kupitia chama hicho, Magdalena Sakaya akihutubia mkutano wa kampeni uliofanyika kwenye uwanja wa Mwananchi Square Urambo, Tabora.
Wananchi wa Urambo, Tabora wakisikiliza mkutano wa kampeni wa mgombea mwenza wa Ukawa.
Bango....
Aliyekuwa mbunge wa jimbo la Mkanyageni, Zanzibar, Habib Mnyaa, (CUF) akihutubia mkutano wa kampeni uliofanyika kwenye uwanja wa Mwananchi Square Urambo Mashariki, Tabora. 
Wanachi wakifuatilia mkutano huo.

No comments: