|
Mgombea ubunge wa UKAWA kupitia chama cha CUF Maulid Salum Mtulia akihutubia mamia ya watu waliohudhria uzinduzi wa kampeni za ubunge jimbo la Kinondoni leo jioni. |
Vyama vinavyounda Umoja wa katiba ya wananchi UKAWA leo hii vimezindua kampeni za ubunge kwa jimbo la Kinondoni ambapo mamia ya watu walihunduria katika viwanja vya Mapilau. Ukawa wameamua kusimamisha mgombea mmoja kwa kila jimbo toka vyama vya Chadema, CUF, NCCR Mageu na NLD ambapo kwa jimbo la Kinondoni Ukawa imemsimamisha Maulid Salum Mtulia.
|
Bw Mtulia akimwaga sera leo hii jioni Mwananyamala katika viwanja vya Mapilau.
|
|
Meza kuu! |
|
Baadhi ya viongozi wa viama vinavyounda UKAWA wakiomba duaa kabla ya mkutano kuanza rasmi. |
|
Wakati wa duaa! |
|
Makamu mwenyekiti wa CHADEMA Profesa Abdallah Safari akihutubia mamia ya watu waliohudhuria uzinduzi wa kampeni za UKAWA kwa ubunge wa jimbo la Kinondoni leo hii jioni. |
Picha zote na
Hassan Kachloul
No comments:
Post a Comment