ANGALIA LIVE NEWS

Monday, September 28, 2015

Mkutano wa Kampeni wa CUF Micheweni

Katibu Mkuu wa CUF Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akihutubia katika mkutano wa hadhara wa Chama hicho uliofanyika viwanja vya skuli ya Micheweni.
Wafuasi na wapenzi wa CUF wakimsikiliza mgombea Urais wa Chama hicho Mhe. Maalim Seif Sharif katika viwanja vya skuli ya Micheweni.

2 comments:

Anonymous said...

Hongereni Zanzibar kwa kampeni za kistarabu
Naomba muwafundishe na bara hasa CCM

Anonymous said...

Wanachama na mashabiki wa Ukawa wamewarushia na kuwapiga mawe na chupa Polisi! Wana Ukawa hawa hawa wamezuia msafara wa mgombea wa CCM na kumfanyia vurugu!! Pia wapenzi wa Ukawa wamemwaga mkojo kwenye ofisi ya CCM!!! Hivyo anayetakiwa kufundishwa ni nani kama siyo Ukawa? Kuweni wastaarabu na mjifunze kwa wenzenu wapenda amani.