Advertisements

Thursday, September 3, 2015

MWENYEKITI WA CHADEMA MBOWE AMJIBU DR SLAA,SIKILIZA HAPA ALICHOMJIBU


Katika video hii Mwenyekiti wa CHADEMA taifa Freeman Mbowe amemjia juu Dr. Slaa huku akisema chama hicho hakito yumba kwani ni mali ya wananchi. 

8 comments:

Anonymous said...

mbowe bora unyamaze, siasa huwezi. unasema chama ni cha wananchi mbona umekiuza kwa fisadi. au huoni upuuzi uliwafanyia watanzania hususani wanachama wa chadema. njaa na vihela vitakuua ndugu. kuna maisha baada ya uchaguzi sijui utaweka wapi sura yako kwa watanzania sababu ya tamaa zako binafsi umeua upinzani!!!!!

Anonymous said...

Unacomment upuuzi halafu unadai mbowe mpuuzi you need to understand the subject.!!

Anonymous said...

Fisadi ni baba yako wewe,usiongee pumba

Anonymous said...

Anaepaswa kumjibu Dr. Slaa ni Lowasa.Nyie wengine sijui akina Lisu,Mbowe,Mbatia,Ngwajima inabidi mkae pembeni, tunataka mshutumiwa mkuu ajibu shutuma zake..

Anonymous said...

huyu mpiga madisco nae hana mpya ndo maana akauza urais kwa lowasa. my free advise to him he would rather keep his mouth shut!

Anonymous said...

CCM mmeshikwa pabaya mwezi tu vumilia. Slaa siyo size ya Lowasa ndiyo maana UKAWA ulimpiga chini. Mbowe hajamjibu ameweka ufafanuzi chama ni nini.

Anonymous said...

Awe fisadi asiwe fisadi. Ndio tunaemtaka.

Anonymous said...

Akili matope