ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, September 26, 2015

POPE FRANCIS KUWA POPE WA KWANZA KUTEMBELEA MAGEREZA YA MAREKANI

Philadelphia's Curran-Fromhold Correctional Facility Nijina la magereza atayotembelea Pope Francis, akiwa hapa Pope atakutana na wafungwa na kufanya nao missa ya pamoja. Ni historia kwa Pope kutembelea magereza yaliyo ndani ya Marekani. Magereza hii inaongoza kwa kuwatesa wafungwa na mambo mengi ya ukiukaji haki za kibinadamu.
Wafungwa wakitengeza kitu maalum kwa Pope kama zawadi kutoka kwao na kama shukrani kwao kwa kitendo cha kufika kuwaona na kufanya nao missa.
Ukitaka kujua kwanini amechagua Magereza hiyo jitiririshe kwa kuingia http://www.citylab.com/crime/2015/09/what-pope-francis-should-know-about-the-philly-jail-hes-visiting/406936/

No comments: