ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, September 16, 2015

Luise Binagi

Hapa ni Tarime Mkoani Mara ambako ni nyumbani kwa Professor Luise Binagi (Manamba) aliewasili nchini hivi karibuni baada ya kustaafu. Kwa muda mrefu Professor Binagi alikuwa akifanya kazi nchini Marekani. Picha na Binagi Media Group
Familia ya Binagi pamoja na Uongozi wa Binagi Media Group unakukaribisha nyumbani Tanzania.
Kulia ni Professor Luise Binagi, Katikati ni Mkewe Luizer Binagi na kushoto ni rafiki wa Professor Binagi aitwae Mzee Sabhanganga.
Professor Binagi (Kulia) akiwa pamoja na rafiki yake Mzee Sabhaganga (Kushoto).

4 comments:

Anonymous said...

Jina lake ni Dr.Llyod Binagi(Phd) na siyo Luise, na mkewe ni mama Louisa Binagi.
Asante kwa marekebisho.

Anonymous said...

Huyu ni yule Binagi aliekula pesa za jengo la ubalozi wetu Italia?

Anonymous said...

Ahaaaaaaaaaaaaaaaaa! Kweli litakufuata

Anonymous said...

Usimchanganye na Dr. Mahalu(PhD) aliyekula fedha za ubalozi Italy.
Dr. Binagi(PhD) hajawahi kufanya kazi Italy or serikalini (Tanzania). Amekaa na kufundisha Marekani toka miaka ya 1960's.