Advertisements

Friday, September 4, 2015

Rais Kikwete afungua Mkutano wa Jumuiya ya Wazazi ya CCM

Mwenyekiti wa CCM Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na Mwenyekiti wa jumuiya ya Wazazi ya CCM Bwana Abdallah Majura Bulembo wakiikingia katika ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaam ambapo alifungua mkutano wa Makatibu wa Jumuiya ya Wazazi ya CCM,Mkoa na Wilaya.
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi ya CCM taifa Abdallah Majura Bulembo akimpa zawadi Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete wakati wa Mkutano wa jumuiya hiyo uliofanyika katika ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaam leo.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akitoa hotuba yake ya ufunguzi wa Mkutano wa Jumuiya ya Wazazi ya CCM ngazi ya,Mkoa na Wilaya uliofanyika katika ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaam leo.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akitoa hotuba yake ya ufunguzi wa Mkutano wa Jumuiya ya Wazazi ya CCM ngazi ya,Mkoa na Wilaya uliofanyika katika ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaam leo.
Mwenyekiti wa CCM Rais Dkt,Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wanaohudhuria Mkutano wa jumuiya hiyo unaofanyika katika ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaam leo(picha na Freddy Maro)

No comments: