Rais Dkt.Jakaya Kikwete akisalimiana na baadhi ya wasanii wa ZeComedy Original wakatia lipokutana nao akiwa njiani kuelekea katika
uzinduzi wa daraja la Malagarasi mkoani kigoma jana.Wasanii hao
walikuwa wanawelekea Mkoani kigoma kujshiri katika kampeni za mgombea
urais kwa tiketi ya CCM Mh.John Pombe Magufuli,(picha na Freddy Maro)
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na Mwakilishi kutoka katika umoja wa Falme za kiarabu balozi Ibrahim Al Suweidy wakifunua kitambaa katika jiwe la msingi wakati wa ufunguzi wa barabara ya kilometa 76.6 kutoka Kidahwe-Uvinza kuelekea Daraja la Malagarasi mkoani Kigoma jana


No comments:
Post a Comment