Jumuiya ya Waislam Watanzania wa NY, NJ, CT MA, PA na DE (NEMTA) ina furaha kuwaalika Watanzania wote wanaishio katika majimbo tajwa kuhudhuria tafrija ya kusherehekea Eid Al Hajj.
Ndugu waalikwa tunawaomba kufika kwa wakati ili tuweze kufaidika na kuwafaidisha watoto wetu kusherehekea siku hii adhimu.
Kuhudhuria kwako itakuwa ni ushirikiano mkubwa katika kufanikisha sherehe hii.
Mahala husika ambapo sherehe itafanyika ni Madina Hall Kuanzia saa 7 Mchana hadi 4 usiku Watanzania wote mnakaribishwa,
Address:
76-15 101 Avenue Ozone Park, Ny 11416
Between 77 St & 76 St on 101 Ave.
Shukrani
2 comments:
eid Mubarak wana new York wote na wa new jersey na connecticult.love you guys.inshallah kila la kheir eid njema.ahsante dj luke kwa kutuwekea habari hizi.
wa new York mbona hamjapiga picha zenu this time.ibra huko vipi,no pictures this time.au mabamita wamegoma kupigwa picha.
Post a Comment