ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, September 24, 2015

SHEREHE ZA EID AL HAJJ NEW YORK SIKU YA ALHAMIS SEPTEMBER 24 KUANZIA SAA 8 MCHANA HADI 4 USIKU


Jumuiya ya Waislam Watanzania wa NY, NJ, CT MA, PA na DE (NEMTA) ina furaha kuwaalika Watanzania wote wanaishio katika majimbo tajwa kuhudhuria tafrija ya kusherehekea Eid Al Hajj. 
Ndugu waalikwa tunawaomba kufika kwa wakati ili tuweze kufaidika na kuwafaidisha watoto wetu kusherehekea siku hii adhimu.
 Kuhudhuria kwako itakuwa ni ushirikiano mkubwa katika kufanikisha sherehe hii. 
Mahala husika ambapo sherehe itafanyika ni Madina Hall Kuanzia saa 7 Mchana hadi 4 usiku  Watanzania wote mnakaribishwa, 

Address: 
76-15 101 Avenue Ozone Park, Ny 11416
 Between 77 St & 76 St on 101 Ave. 
Shukrani

2 comments:

Anonymous said...

eid Mubarak wana new York wote na wa new jersey na connecticult.love you guys.inshallah kila la kheir eid njema.ahsante dj luke kwa kutuwekea habari hizi.

Anonymous said...

wa new York mbona hamjapiga picha zenu this time.ibra huko vipi,no pictures this time.au mabamita wamegoma kupigwa picha.