ahsanteni sana vijimambo team kwa kututakia eid njema na nyinyi pia tunakutakiyeni eid njema.jamani kuweni wastarabu mnapo takiwa eid njema muwe mnawashukuru wanaokutakiyeni kila siku mimi ndo nina andika kutoa shukurani nikifa je.waislamu hatutakiwe kuwa hivi. mkitolewa salaam jibuni. kwani hatoku kostini kitu.
Post a Comment
1 comment:
ahsanteni sana vijimambo team kwa kututakia eid njema na nyinyi pia tunakutakiyeni eid njema.
jamani kuweni wastarabu mnapo takiwa eid njema muwe mnawashukuru wanaokutakiyeni kila siku mimi ndo nina andika kutoa shukurani nikifa je.
waislamu hatutakiwe kuwa hivi. mkitolewa salaam jibuni. kwani hatoku kostini kitu.
Post a Comment