UCHAGUZI MWAKA HUU TANZANIA NI BALAA TU AMANI NDIO JAMBO LA MSINGI
1 comment:
Anonymous
said...
Ahsanteni sana wanageita kabisa shikilieni uzi huo huo Magufuli ndie Raisi, fisadi lowasa wa kazi gani?. Hao wanaotaka lowasa awe raisi ni wagonjwa kama yeye. Hata hizo akili zao hazi function kama lowasa. Lowasa uwezo wake wa kufikiri ni mdogo mno kiasi kwamba anashindwa hata kuwahutubia wananchi kwa sababu hana cha kuwaambia. Vilevile anaogopa kuhutbia kwa muda mrefu kukwepa uwezekano wa wananchi kumtaka awafanunulie kuhusu tuhuma za ufisadi zinazomkabili. Ni mgombea ambae kampeni zake zimejengwa katika misingi ya udanganyifu na ulaghai wa hali ya juu kamwe hawezi kuwa openi kama maghufuli hicho kitu hakita tokea.

Post a Comment