ANGALIA LIVE NEWS

Friday, September 18, 2015

Uzinduzi wa Kampeni za CUF jimbo la Malindi uliofanyika Mfenesi Mazizi

Wagombea wa CUF jimbo la Malindi wakiwa katika Meza kuu wakati wa uzinduzi wa Kampeni za kuwania jimbo hili. 
Mgombea Ubunge kwa tiketi ya CUF jimbo la Malindi, Ali Saleh akijinadi hapo Mfenesi mazizi .

Wafuasi na wapenzi wa CUF waliohudhuria mkutano wa kampeni kwa jimbo la Malindi Mfenesi Mazizi


Wafuasi na wapenzi wa CUF waliohudhuria mkutano wa kampeni kwa jimbo la Malindi Mfenesi Mazizi




Hatimaye leo ‪‎CUF‬ Jimbo la ‪Malindi‬ imezindua kampeni huko Mfenesi Mazizi kwa kishindo kikubwa. 


Walioshiriki uzinduzi huo ni Ally Saleh na Nassor Amin Said na Amina Uwesu

No comments: