Baadhi ya misumeno ya moto iliokamatwa katika sehemu mbalimbali ambayo ikitumika katika kukata miti ikiwa imewekwa kusubiri kuangamizwa kwa moto katika Uzinduzi wa Kanuni ya kudhibiti na matumizi ya Misumeno ya moto Maruhubi mjini Zanzibar.
Wafanyakazi wa Kilimo na mali ya Asili wakikusanya kuni kwa ajili ya kuichoma moto Misumeno ya moto iliokamatwa sehemu mbalimbali katika Uzinduzi wa Kanuni ya kudhibiti na matumizi ya Misumeno ya moto Maruhubi mjini Zanzibar.
Mkurugenzi wa Idara ya Misitu na mali asili Zisizorejesheka Sheha Idrissa Hamdan akitia mafuta kwa ajili ya kuichoma moto Misumeno ya moto iliokamatwa sehemu mbalimbali katika Uzinduzi wa Kanuni ya kudhibiti na matumizi ya Misumeno ya moto Maruhubi mjini Zanzibar.
Waziri wa Kilimo na mali ya Asili Dk Sira Ubwa Mamboya watatu kulia akiangalia misumeno ya moto iliokamatwa sehemu mbalimbali ikichomwa moto katika Uzinduzi wa Kanuni ya kudhibiti na matumizi ya Misumeno ya moto Maruhubi mjini Zanzibar.
Waziri wa Kilimo na Mali ya Asili Dk Sira Ubwa Mamboya akitoa taarifa kwa waandishi wa Habari hawapo pichani kuhusiana na Uzinduzi wa Kanuni ya kudhibiti na matumizi ya Misumeno ya moto Maruhubi mjini Zanzibar.
Baadhi ya Waandishi wa Habari wakisikiliza na kunukuu taarifa inayotolewa na Waziri wa Kilimo na Mali ya Asili Dk Sira Ubwa Mamboya katika Uzinduzi wa Kanuni ya kudhibiti na matumizi ya Misumeno ya moto Maruhubi mjini Zanzibar.
Waziri wa Kilimo na Mali ya Asili Dk,Sira Ubwa Mamboya akisisitiza jambo wakati akitoa taarifa kwa waandishi wa habari pamoja na wananchi kuhusiana na Uzinduzi wa Kanuni ya kudhibiti na matumizi ya Misumeno ya moto Maruhubi mjini Zanzibar.
Waziri wa Kilimo na Mali ya Asili Dk,Sira Ubwa Mamboya akizungumza na vyombo vya habari nje ya Ukumbi wa ASSP baada ya kutoa taarifa ya Uzinduzi wa Kanuni ya kudhibiti na matumizi ya Misumeno ya moto Maruhubi mjini Zanzibar.
PICHA NA-YUSSUF SIMAI ALI -MAELEZO ZANZIBAR.
2 comments:
HII ISRAFU KWANI HIO MISUMENO HAIWEZI KUTUMIKA KAMA VIFAA VYA KUANDAA MASHAMBA KABLA YA KILIMO AT LEAST WANGEPEWA WAKULIMA BURE BASI AMBAO SIO WAHARIBIFU WA MAZINGIRA
MAELEZO YANASEMA MISUMENO IMEKAMATWA KATIKA MAENEO MBALI MBALI, HALI AMBAYO INANIPA MASHAKA HIYO MISUMENO YOTE INAONEKANA NI YA AINA MOJA?????????????OOOOMMMMM??????
Post a Comment