Afisa wa Takwimu wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu(NBS),Emilian Karugendo akizungumza na waandishi habari katika warsha ya kuelekea malengo 17 ya Maendeleo Endelevu iliyofanyika jijini Dar es Salaam.
Afisa wa Ofisi ya Rais-Tume ya Mipango Lorah Madete akizungumza na waandishi wa habari juu ya jinsi ya mipango inavyotekelezwa na serikali katika kuelekea malengo 17 ya maendeleo endelevu iliyofanyika jijini Dar es Salaam.
Mhadhiri wa Shule kuu ya uandishi wa habari, DkAyuob Rioba akizungumza na waandishi wa habari juu ya jinsi ya nafasi ya vyombo vya habari katika kushiriki katika malengo 17 ya maendeleo endelevu iliyofanyika jijini Dar es Salaam.
Mratibu wa Kanda ya Afrika Beyond 2015, Steven Chacha akizungumza na waandishi jinsi mpango wa maendeleo endelevu walivyojipanga katika kushirikiana na waandishi katika warsha iliyofanyika jijini Dar es Salaam.
Washiriki wakifatilia maada wakati wa warsaha iliyofanyika jijini Dar es Salaam.
Waandishi wa habari pamoja na viongozi wa Taasisi ya Hope Foundation for Social Interprenuership iliyofanyika jijini Dar es Salaam.
(Picha na Emmanuel Massaka Globu ya Jamii)
Na Chalila Kibuda

Vyombo vya habari vimetakiwa kushiriki
katika maendeleo endendelevu ya yenye malengo 17 yanayoanza 2016 hadi 2030 ili
kuweza wananchi kufahamu kila lengo na kuweza kufikia mabadiliko chanya.
Malengo 17 ya Maendeleo Endelevu
yanatokana na kuisha kwa malengo ya milenia ambayo yamekamilika mwaka huu na
kufanya nchi 88 duniani kukaa pamoja na kuja malengo hayo lengo likiwa ni
kukamilisha malengo ya milenia ambayo yamekamilika mwaka huu pamoja na
kuboresha sekta mbalimbali kupitia malengo hayo.
Akizungumza
na waandishi wa habari
katika warsha iliyoandaliwa na Hope Foundation for Social
Interprenuership, Mhadhiri wa Shule Kuu ya Uandishi wa Habari ya Chuo
Kikuu Cha Dar es Salaam, Dk.Ayub
Rioba amesema kuwa waandishi wanawajibu kuelimisha wananchi kwa kila
hatua
ya melengo 17 ya maendeleo endelevu.
Rioba anasema baadhi ya nchi ikiwemo
Singapore na Malaysia zimepiga hatua kubwa katika kutimiza malengo ya milenia
inayokamilika kutokana na kuwashirikisha wananchi wake kupitia vyombo vya
habari hivyo serikali na wadau wa masuala ya maendeleo wanatakiwa kufanya
hivyo.
Mratibu wa
Kanda ya Afrika ya 2015,Steven
Chacha amesema kama taasisi wamejipanga katika kuhakikisha wanashirikisha
waandishi katika kuhakikisha malengo hayo yanayoangaliwa katika kuleta mabadiliko yenye tija kwa
wanananchi ambao wanatokana na changamoto.
Nae Afisa wa Takwimu wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu(NBS),Emilian
Karugendo amesema kuwa NBS watafanya tathmini kutokana na viashiria hivyo
katika kwenda katika malengo 17 ya
maendeleo endelevu.
No comments:
Post a Comment