Advertisements

Friday, October 9, 2015

Balozi mpya wa Denmark nchini na Balozi mteule wa Tanzania nchini Malawi wakutana na Dk Shein Ikulu

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Balozi mpya wa Denmark katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Einar Hebogard alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo kwa ajili ya kujitambulisha.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na mgeni wake Balozi mpya wa Denmark katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Einar Hebogard alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo kwa ajili ya kusalimiana na Rais.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na mgeni wake Balozi Mteule wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Malawi Victoria Mwakasega alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo kwa ajili ya kusalimiana na Rais.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akifuatana na mgeni wake Balozi Mteule wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Malawi Victoria Mwakasega alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo baada ya mazungumzo na Rais,[Picha na Ikulu.]

No comments: