GLOBAL TV ONLINE: LOWASSA AITAKA NEC KUMTANGAZA YEYE KUWA NDIYE RAIS WA ...
7 comments:
Anonymous
said...
Mzee acha upuuzi, umekula vya kutosha, tamaa ya madaraka itakuponza. Ushauri wangu nenda kupumzike kwa amani. Hakuna watanzania ambao wako tayari kumwaga damu kwaajili ya faida yako. Umeshindwa kihalali kabisa. Nyerere alikuachaia laana. Vijana sikilizeni, mtakao athirika ni nyinyi, mtasota jela kwa miaka huku mwenzenu na familia yake wakitibiwa ulaya. Nani alikwambia Tanzania bila wewe hawezi kuwa na amani? Bahati mbaya hata wanao kushauri na wao wanafikiria kama wewe. Waangalizi wa kimataifa wamesema uchaguzi ulikuwa wa haki na huru. Haya matokeo ya kwako na ukawa yako, kaweke kwenye museum yako Monduli utawaoneysha wajukuu.Narudia tena, hila zako na chuki ya kukatwa haita fanikiwa. Don't waste your time. Tanzania inasonga mbele bila wewe.
Lol huyu mzee wamuweke chini ya suicide watch. Naona anaanza kuchanganyikiwa. Watanzania wenzangu hapa duniani hasa katika ardhi ya Tanzania mwenyezi mungu alimleta mtu mmoja wa ajabu sana kutokana na uwezo wake mkubwa sana wa busara hasa katika masuala ya uongozi mtu huyo sie mwengine bali ni mwalimu Julius kambarage nyerere mtoto wa butiama. Huyu jamaa achana nae yaani huwezi kumuita mchawi lakini kutokana na uwezo wake mkubwa wa kuyaona mambo kabla ya kutokea ni wa ajabu sana. Waganda wanaamini huyu jamaa alikuwa ni mtume wa mungu mimi kutokana na imani yangu siwezi kufika huko lakini kwa kweli nyerere ni mtu ambae anashangaza sana. Nyerere alisema mtu yeyote anaekimbilia kwenda ikulu, ukimuona mtu anahangaika anatafuta kila aina ya njia kukimbilia ikulu huyo mtu ni wa kuogopwa kama ukoma. Sisi watanzania tulikuwa tukimsikia nyerere akisema hivyo tunabakia tukicheka tu bila ya kukaa chini na kutafakari nini mwalimu anatuwasa . Kwa kifupi mwalimu alituwasa tuachane kabisa na watu kama akina lowasa na kama ilikuwa inawezekana lowasa asiruhusiwe hata kuchukua fomu ya kugombea uraisi kwanza anakashfa nzito pili na lahatari zaidi ni mbinafi yaani mmimi mno. Sasa lowasa yupo tayari kulichana chana taifa la Tanzania kisa nini lazima yeye awe raisi kwa kweli huyu mzee anakera sana yeye yake yasha mwishia anataka na watanzania na maisha yao wakose kama alivyo fulia yeye. Mungu atamlaani sana na ubinafsi wake.
Naunga mkono hoja.Kwa kuongezea, nina imani kuwa raisi mteule J.Magufuli hatamwonea mtu aibu na hata kumbatia tabia ya kulindana na kuvumiliana ambayo CCM wamekuwa nayo kwa muda mrefu. In short, Lowasa alipoteza sifa ya kugombea nafasi yoyote ya kitaifa mara bunge lilipo mfungashia virago vyake. Cha ajabu,CCM wakamvumilia bila kujua huyu mbwana hana mshipa wa haya. Matokeo yake ndio haya alishajiweka ktk nafasi ya uraisi hata kabla ya kampeni akiamini fedha ndio kila kitu.. " You can fool some people sometimes, but you cannot fool all the people all the time " W.Churchill
mzee huyu ana Alzheimer jamani muacheni ajifurahishe. akimaliza atapelekwa hospitali kutibiwa,karibu tunampeleka nursing home. na washuri wake akili zao upeo wa pua. juzi hapa unasema matokeo yafutwe na hautambui uchaguzi sasa unataka kutangazwa umeshinda kwa matokeo ya watu wa IT wa chna,kenya na uk waliokamatwa, hivi wewe unafikiri watanzania wana akili kama yako ya kondoo. tanguliza kwanza watoto wako,wa mbowe,wa mbatia,wa duni,wa tundu lisu na nyinyi na wake zenu mstari wa mbele katika kuandamana na ndio tutajua kweli mko serious.
Yule mzee naona kama akina Mbowe ndio wanaompelekesha wameshamlia vijipesa vyake masikini kwa kumuuzia biashara feki ya ukawa kwa thamani ya mlio wa punda yakwamba chadema /ukawa wanamtaji mkubwa wa kuingia ikulu sasa ukijumlishwa na mtaji wako mzee lazima tutaingia ikulu basi mzee wa watu masikini akaingia kichwa kichwa akina Mbowe wakajikingia mahela ya mzee wa watu matokeo yake mzee kaangukia pua sasa njia pekee ya akina Mbowe kuzuia hela ya mzee ni kumdanganya biashara imelipa ispokuwa tumedhulumiwa ? Yaani hawa ukawa wanafilamu ya uongo wa ajabu sana . Tunakuombeni akina Mbowe acheni kumtapeli huyo mzee wa watu kwa sababu pesa zake mmeshakula msije mkaula na uhai wake mwacheni akapumzike kwa amani.
Muongo, Muongo, Mzushi, Mzushi, huyu babu hafai kabisa , he just lost my total respect. I will never ever listen to this opportunist demagogue. Umeshindwa kubali waache watanzania waendelee na maisha yao. Lowassa unafikiri maisha ya watanzania kwako ni mchezo tu baada ya kutuibia sana na kuupata utajiri usioelezeka. Nawasikitikia watu wanaomuamini huyu mtu ni mzandiki asiyekubali kushindwa uchaguzi safi. Please Lowassa, do us a favor, get lost.
Nimemsikiza huyu Mhe na kusoneka sana. Jana mengine leo mengine. Naamini kabisa mkewe alisahau kumnywesha dawa zake za kila siku. What a sad and tragic ending!
7 comments:
Mzee acha upuuzi, umekula vya kutosha, tamaa ya madaraka itakuponza. Ushauri wangu nenda kupumzike kwa amani. Hakuna watanzania ambao wako tayari kumwaga damu kwaajili ya faida yako. Umeshindwa kihalali kabisa. Nyerere alikuachaia laana. Vijana sikilizeni, mtakao athirika ni nyinyi, mtasota jela kwa miaka huku mwenzenu na familia yake wakitibiwa ulaya. Nani alikwambia Tanzania bila wewe hawezi kuwa na amani? Bahati mbaya hata wanao kushauri na wao wanafikiria kama wewe. Waangalizi wa kimataifa wamesema uchaguzi ulikuwa wa haki na huru. Haya matokeo ya kwako na ukawa yako, kaweke kwenye museum yako Monduli utawaoneysha wajukuu.Narudia tena, hila zako na chuki ya kukatwa haita fanikiwa. Don't waste your time. Tanzania inasonga mbele bila wewe.
Lol huyu mzee wamuweke chini ya suicide watch. Naona anaanza kuchanganyikiwa. Watanzania wenzangu hapa duniani hasa katika ardhi ya Tanzania mwenyezi mungu alimleta mtu mmoja wa ajabu sana kutokana na uwezo wake mkubwa sana wa busara hasa katika masuala ya uongozi mtu huyo sie mwengine bali ni mwalimu Julius kambarage nyerere mtoto wa butiama. Huyu jamaa achana nae yaani huwezi kumuita mchawi lakini kutokana na uwezo wake mkubwa wa kuyaona mambo kabla ya kutokea ni wa ajabu sana. Waganda wanaamini huyu jamaa alikuwa ni mtume wa mungu mimi kutokana na imani yangu siwezi kufika huko lakini kwa kweli nyerere ni mtu ambae anashangaza sana. Nyerere alisema mtu yeyote anaekimbilia kwenda ikulu, ukimuona mtu anahangaika anatafuta kila aina ya njia kukimbilia ikulu huyo mtu ni wa kuogopwa kama ukoma. Sisi watanzania tulikuwa tukimsikia nyerere akisema hivyo tunabakia tukicheka tu bila ya kukaa chini na kutafakari nini mwalimu anatuwasa . Kwa kifupi mwalimu alituwasa tuachane kabisa na watu kama akina lowasa na kama ilikuwa inawezekana lowasa asiruhusiwe hata kuchukua fomu ya kugombea uraisi kwanza anakashfa nzito pili na lahatari zaidi ni mbinafi yaani mmimi mno. Sasa lowasa yupo tayari kulichana chana taifa la Tanzania kisa nini lazima yeye awe raisi kwa kweli huyu mzee anakera sana yeye yake yasha mwishia anataka na watanzania na maisha yao wakose kama alivyo fulia yeye. Mungu atamlaani sana na ubinafsi wake.
Naunga mkono hoja.Kwa kuongezea, nina imani kuwa raisi mteule J.Magufuli hatamwonea mtu aibu na hata kumbatia tabia ya kulindana na kuvumiliana ambayo CCM wamekuwa nayo kwa muda mrefu.
In short, Lowasa alipoteza sifa ya kugombea nafasi yoyote ya kitaifa mara bunge lilipo mfungashia virago vyake. Cha ajabu,CCM wakamvumilia bila kujua huyu mbwana hana mshipa wa haya.
Matokeo yake ndio haya alishajiweka ktk nafasi ya uraisi hata kabla ya kampeni akiamini fedha ndio kila kitu..
" You can fool some people sometimes, but you cannot fool all the people all the time " W.Churchill

Post a Comment