Hakuna bao la mkono hapa. Watanzania kwa uwingi wao waliamua kumpa Dr. Magufuki kura zao safi na zisizo na ubishi wowote. Maajenti wenu walikuwemo kwenye mchakato wote wa kupiga kura na kuhesabu kura zilizopigwa na baadaye kusaini makaratasi yanayoonyesha kura ngapi kila mgombea alipata. Hivyo hakuna bao la mkono hapa labda kama maajenti wenu ndiyo wamewaingiza mkenge.
Tatizo jingine mmejiwekea na kujidhalilisha ni pale mlipo ajiri kupitia mlango wa nyuma mamluki mnaowaita wataalamu wa IT kutoka Kenya, Angola na South Korea ambao upuuzi wao wa kuwabadilishia idadi ya kura uligundulika mapema na sasa wanasota jela. Tokana na kosa hili mtagharamia kesi ya hawa watu wenu pamoja na mshahara mliowaahidi kwa kazi ambayo haikuwaletea matunda mliyotaka. Hii ni aibu na poleni sana.
2 comments:
Hakamatiki kwa bao la mkono
Nampenda seif kaliona mapema cuf viva

Post a Comment