Advertisements

Sunday, October 4, 2015

IBADA YA KUMUOMBEA MPENDWA MAMA KETANG'ANYENYI



Broadcast live streaming video on Ustream


Broadcast live streaming video on Ustream

Padri Lehandly Kimario akiongoza ibada ya kumuombea mpendwa dada, mama na bibi yetu Bettisheba Pole Ketang'enyi iliyofanyika siku ya Jumapili Octoba 4, 2015 Silver Spring, Maryland nchini Marekani.

Mtoto wa marehemu Felicia Simms akisoma wasifu wa marehemu katika ibada ya kumuombea mpendwa dada, mama, bibi Bettisheda Pole Ketang'enyi iliyofanyika siku ya Jumapili  Octoba 4, 2015 Silver Spring, Maryland nchini Marekani.
Kwa picha zaidi bofya soma zaidi

Mume wa Felicia Bwn. Simms akiongea machache ya jinsi alivyokua anamfahamu marehemu katika ibada ya kumuombea mpendwa dada, mama, bibi Bettisheda Pole Ketang'enyi iliyofanyika siku ya Jumapili  Octoba 4, 2015 Silver Spring, Maryland nchini Marekani.

 Mmoja wa waliyokua wakiongoza sala ya pamoja kutoka Dallas waliyokua wakisali pamoja na marehemu wakati wa uhai wake akiongea machache ya jinsi alivyomfahamu marehemu katika ibada ya kumuombea mpendwa dada, mama, bibi Bettisheda Pole Ketang'enyi iliyofanyika siku ya Jumapili  Octoba 4, 2015 Silver Spring, Maryland nchini Marekani.
Mtoto wa marehemu Bwn. Frederick Ketang'enyi akiongea machache na kutoa shukurani kwa wote waliosaidia kwa namna moja au nyingine ukiwemo mjumuiko wao na kuwafariji katika kipindi hiki kigumu kwao huku akifananisha mama yako kama kichwa cha treni. Kulia ni mkewe.

Mama Chacha akiongea machache ya jinsi gani alivyokua akimfahamu marehemi katika ibada ya kumuombea mpendwa dada, mama, bibi Bettisheda Pole Ketang'enyi iliyofanyika siku ya Jumapili  Octoba 4, 2015 Silver Spring, Maryland nchini Marekani.Kushoto ni Felicia Simms Bhoke Kirigiti (kulia)
Mama Mwombela (watatu toka kushoto) akiongea ya jinsi gani alivyokua akimfahamu marehemi katika ibada ya kumuombea mpendwa dada, mama, bibi Bettisheda Pole Ketang'enyi iliyofanyika siku ya Jumapili  Octoba 4, 2015 Silver Spring, Maryland nchini Marekani. Wengine katika picha ni Felicia Simms (kushoto) na watoto wa mama Mwombela Patricia (wapili toka kushoto) na Flavia (kulia)
Kati ni mama Nora Mukami  akiongea ya jinsi gani alivyokua akimfahamu marehemi katika ibada ya kumuombea mpendwa dada, mama, bibi Bettisheda Pole Ketang'enyi iliyofanyika siku ya Jumapili  Octoba 4, 2015 Silver Spring, Maryland nchini Marekani. Wengine katika picha ni Peter Kirigiti na mkewe Bhoke Kirigiti ambaye ni mtoto wa mama Nora Mukami.
Aunty Rossie Musika  akiongea ya jinsi gani alivyokua akimfahamu marehemi katika ibada ya kumuombea mpendwa dada, mama, bibi Bettisheda Pole Ketang'enyi iliyofanyika siku ya Jumapili  Octoba 4, 2015 Silver Spring, Maryland nchini Marekani.
Kati ni Aunty Neema akiongea ya jinsi gani alivyokua akimfahamu marehemi katika ibada ya kumuombea mpendwa dada, mama, bibi Bettisheda Pole Ketang'enyi iliyofanyika siku ya Jumapili  Octoba 4, 2015 Silver Spring, Maryland nchini Marekani. Kushoto ni mtoto wa Aunty Neema anayeitwa Kay na kulia ni Felicia Simms.
 Familia ya marehemu wakifuatilia ibada.





Broadcast live streaming video on Ustream

No comments: