Advertisements

Saturday, October 10, 2015

Katika Swahili Hip Hop na Bongo Flava hii leo

Jina lake ni Paul Mbenna​. Wengi katika ulimwengu wa Bongo Flava wanamfahamu kama Mr Paul.
Alitamba na nyimbo nyingi kama Nakuzimia, Zuwena, Kuoana, na hata zile alizojazia kiitikio kama Kighetogheto na nyinginezo
Kwa sasa anaishi na kufanya kazi nchini Australia.
Panapo majaaliwa tutaungana naye kwenye kipindi cha SWAHILI HIP HOP NA BONGO FLAVA saa nne kamili kwa saa za Marekani Mashariki (10:00ET)

Ni kila Jumamosi ndani ya Kilimanjaro Studio kupitia www.vijimamboradio.com, au www.kwanzaproduction.com au www.bordermediagroup.com au kupitia hapa katika Vijimambo Radio kwenye TuneIn app

Kwa Marekani na Canada, unaweza kusikiliza kupitia simu 716-748-0086 kwa saa 24 ama kwenye live show piga 240-454-0093 na kisha *5 kuchangia lolote

No comments: