Advertisements

Wednesday, October 7, 2015

KINANA MWANZA,MAGUFULI MOSHI NA HAI..HUKO BUMBULI NA MLALO WALIKUWA VIJANA WA KAZI WA CCM HAWA HAPA

Mzee yupo tayari kwa kupiga kura kumchagua Rais,Mbunge na Diwani wa Chama cha Mapinduzi.January Makamba akizungumza na Wananchi wake wa kata ya Mamba,Kubwa ametekeleza Upatikanaji wa Umeme,Usambazi wa maji na uanzishwaji wa kituo cha Afya.
January Makamba chaguo la Wanabumbuli.Watoto nao ni Chipukizi wa Chama cha Mapinduzi kwa uongozi Ujao."Mabadiliko ya kweli yapo CCM"January Makamba akinadi sera zake na kuzungumzia Utekelezaji wa Ilani ya Chama cha Mapinduzi kwa jimbo la Bumbuli kata ya Mbuzii.Vijana wa kazi wa Chama cha Mapinduzi wakiwasili kata ya Dule.Wananchi wa Kata ya dule wakionesha Umoja wao kwa Chama cha Mapinduzi.Mwigulu Nchemba akimnadi Mbunge wa
Bumbuli Ndg.January Makamba kwa Wananchi wa kata ya Dule.Mbunge ni January Makamba kwa Bumbuli.Januray Makamba akizungumza na Wananchi wake ,Kubwa ameomba kura za wingi iliaweze kuwa Mbunge wao kwa kipindi cha pili.Mbunge Mtarajiwa wa Jimbo la Bumbuli Mh.January Makamba akizungumza na Mwananchi wake mwenye Ulemavu.
Wananchi wa kata ya Bumbuli wakifuatilia Mkutano wa Mbunge wao Mh.January Makamba hii leo.Wananchi wanamekaa Vilimani kutokana na Uwanja kujaa Maji yaliyotokana na Mvua.Mwigulu Nchemba akimuombea kura Rais Mtarajiwa Mh.J.Pombe Magufuli,January Makamba na Madiwani wa Chama cha Mapinduzi.Mbunge wa Bumbuli akuungumza na Wanabumbuli Jioni ya leo,Makamba ameomba ridhaa ya kupigiwa kura kuwa Mbunge wa Bumbuli kwa kipindi cha pili.Pia ameomba wananchi kujitokeza kwa wingi siku ya kupiga kura,Kwa upande wa maendeleo tayari ameshaanza ujenzi wa uwanja wa Mpira wa kisasa kwa Bumbuli,Usambazaji wa maji kwenye mitaa na Uboreshaji wa Miundombinu ya Barabara.Wananchi wa Bumbuli wanachotaka kukisikia ni January Makamba kuwa Mbunge wao,Mapokezi ya kila kata yanadhihirisha amewatendea haki kwenye usimamizi wa shughuli za Maendeleo.
Picha na Sanga Festo Jr.

10 comments:

Anonymous said...

Endelea kupamba blog yako na mapicha ya wezi wenzako wa ccm, huna maana huwezi kuandika habari za mafuriko ya lowasa tutakuonyesha Oct. 25.

Anonymous said...

Mgombea wetu umetufikisha hapa tulipo utajiri umeutukuza kwako sisi unaendelea kutushusha pumzi. Huna budi kupumzika tuangalie njia mbadala. Mnakuja wakati wa kuomba kura na hizo elfu kumi ishirini twala tu!! Hii shida tuuu!!

Anonymous said...

Inasikitisha mavazi aliyovaa huyu babu. Ni maendeleo ya aina gani ambayo mbuge wao amewaletea au ni ule ulimbukeni kuwa "muheshimiwa" alipiga picha na mimi na akanipa vishilingi kadhaa hivyo nitampigia kura? Makamba anatakiwa aone aibu kujumuika na Watanzania wa aina hii ambao hali zao za kiuchumi ni mbaya kutokana na ahadi zao feki

Anonymous said...

Wewe uko Tanzania ya wapi? Siku hizi kukumbatia wezi ndio sera ya Chadema.

Anonymous said...

Acha uvivu,fanyakazi.Unataka uletewe utajiri mikononi wewe umekuwa mwana wa mfalme?

Anonymous said...

Siku za mwisho zinafika na watu hawataisha kutapata na kutafuta kila njia na sababu za kudhalilisha wenzao. Hata hivyo hili halisaidii kwani siyo aina ya nguo mtu aliyovaa inayoangaliwa bali ni sera zipi zinazokubalika na wengi. Ikumbukwe pia kuwa hapa hatuangalii mashindano ya mavazi (fashion show) bali tuko kwenye kinyang'anyiro cha kutafuta viongozi watakao iendesha nchi yetu kwa muhula ujao. Pamoja na mafuriko na ukame uliojionyesha katika kampeni za wagombea, idadi ya watu haimanishi chochote. Mwenye sera nzuri ndiye atakayekuwa mshindi na kati ya wote hao mgombea wa CCM ndiye aliyesimama kidedea.

Anonymous said...

NINAMUONA BABU CHOKA MBAYA ALIYEPIGA PICHA NA LAGHAI MKUBWA JANUARI MAKAMBA,MHUNI,MTOA RUSHWA NAMBA I,CCM,MPANGAJI HUJUMA HASIDI KAMA ALIVYO BABA YAKE HAYAWANI YUSUPH MAKAMBA HAWA WATU MTU NA BABA YAKE WAMETUHARIBIA BUMBULI YETU KWA KUWAGAWA WANANCHI KUTUMIA FEDHA ZAO HARAMU,HATUWATAKI KABISA,NI WASHENZI.

Anonymous said...

Matusi, matusi matusi sijui huko tunakokwenda.

Anonymous said...

Hiyo ndiyo CCM
Bado tunaichagua labda akhera
Lowassa Lowassa Lowassa
Kura zetu

Anonymous said...

Lowassa hataiona Ikulu.