Mgombea Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya CUF Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akiwahutubia wafuasi wa chama hicho katika viwanja vya jimbo la Mkwajuni.
Mgombea Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya CUF Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akikabidhi kadi kwa mmoja kati ya vijana 39 wa CCM jimbo la Mkwajuni waliojiunga na CUF
Mwenyekiti wa Timu ya ushindi wa CUF Nassor Ahmed Mazrui, akiwahutubia wafuasi wa Chama hicho katika viwanja vya Mkwajuni.
Wafuasi na wapenzi wa CUF wakifuatilia mkutano huo.
Wafuasi na wapenzi wa CUF wakifuatilia mkutano huo.
Mkurugenzi wa Habari na Mawasiliano wa timu ya Ushindi CUF Ismail Jussa Ladhu, akionesha karatasi ya mfano ya kura ya urais wa Zanzibar yenye wagombea 14 wa Urais. (Picha na Salmi Said, OMKR)
2 comments:
Wakati Seif akiendelea kuwadanganya wanzanzibar miaka nenda miaka rudi kwa matupu ya ulaghai kwa upande wa pili wa muungano tumeshuhudia wanavyotoa ahadi zao kwa vitendo kwani bandari mpya ya bagamoyo ndio kiongozi makini anaweza kusimama na kusema anataka kuleta mabadiliko na kuinua maisha watu kiajira na maendeleo ya nchi kwa ujumla.
Bagamoyo unaijuwa wewe unajuwa mradi huu uko nyuma ya nani kwa faida gani
Usilaum bure
Post a Comment