Advertisements

Sunday, October 11, 2015

MAFURIKO YA LOWASSA MJINI MUSOMA, MKOANI MARA LEO

Mgombea Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa na Mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Mara na Mgombea Ubunge wa Jimbo la Musoma Mjini, Vicent Nyerere, wakiwasili kwenye Uwanja wa Mkendo, Jimbo la Musoma Mjini, Mkoani Mara leo Oktoba 11, 2015, kulikofanyika Mkutano wa Kampeni.
Mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Mara na Mgombea Ubunge wa Jimbo la Musoma Mjini, Vicent Nyerere, akihutubia wananchi katika Mkutano wa hadhara wa Kampeni, uliofanyika kwenye Uwanja wa Mkendo, Jimbo la Musoma Mjini, Mkoani Mara leo Oktoba 11, 2015.
Waziri Mkuu wa Zamani, Mh. Fredrick Sumaye, akiwahutubia wananchi wa Mji wa Musoma waliokuwa wamefurika kwa wingi kwenye Uwanja wa Mkendo, Jimbo la Musoma Mjini, Mkoani Mara leo Oktoba 11, 2015.
Mgombea Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa, akiwahutubia wananchi wa Musoma katika Mkutano wa hadhara wa Kampeni, uliofanyika kwenye Uwanja wa Mkendo, Jimbo la Musoma Mjini, Mkoani Mara leo Oktoba 11, 2015.











































































5 comments:

Anonymous said...

Mafuriko bila ku offer sera nisawa mkusanyiko wa show.Kwa wastani mpaka sasa Ukawa hutumia asilimia 98% ya muda wao wa kampeni kuielezea CCM na kati ya 1% -2% kutoa ahadi.Mwisho wa siku aliejenga hoja na ku-offer sera bora ndio atakaechukua nchi...

Anonymous said...

KESHACHUKUA NCHI LOWASSA,HAKUNA KUTOKA CCM UONGO WOWOTE,PINGAMIZI LOLOTE,ZUIO LOLOTE,MBINU CHAFU YEYOTE,WIZI WOWOTE,UHALIFU WOWOTE,UZANDIKI WOWOTE,UTAPELI WOWOTE,MANENO YEYOTE UKUDA WOWOTE, VITAVYOWEZA KUTUZUIA SISI WANANCHI WA TANZANIA KWA MAMILIONI YETU KUMCHAGUA MHESHIMIWA LOWASSA NDIYE RAIS WETU MPYA WA TANZANIA.KWA HII COUNTDOWN ILIYOBAKIA ,YA HIZI SIKU 14 UMAARUFU WA LOWASSA UNAZIDI KUPANDA,UNAZIDI KUPAA.SASA HIVI CCM WANAHAHA,HAPALALIKI,HAPAKALIKI,WANAPUMULIA MASHINI,PUMZI INAKATA.BYE-BYE CCM.

Anonymous said...

Lowassa hafai kuwa rais.Watanzania tutakuwa malofa kumchagua Lowassa fisadi. Hiki ndicho kipimo cha kama tunataka kuwa na nchi ya watu wa kazi au wapenda maisha ya wiziwizi na kuwa na maisha bora kwa ufisadi kama Lowassa.

Anonymous said...

Kazi moja tu na CCM itaibuka mshindi.

Anonymous said...

SIKU ZOTE MFA MAJI HAISHI KUTAPATAPA.SASA UNAFIKIRI CCM NI SHINGO YA NGAMIA?HAPANA,WAO WANANONG'ONA HIVI:JAMANI LOWASSA AMEKWISHACHUKUA KITI CHA URAIS LAKINI NI LAZIMA TUJIPE MOYO VINGINEVYO CCM WENGINE WATAISHIA MIREMBE KUTOKANA NA MENTAL BREAKDOWN BAADA YA UCHAGUZI NDIO MAANA UNAWAONA HAWA MASALIA KWENYE HII VIJIMAMBO BLOG,BLOG MAKINI,BLOG YA UHURU WA KWELI WA DEMOKRASIA.