Saturday, October 24, 2015

Magufuli amchana JK wazi wazi Jangwani

6 comments:

Anonymous said...

ni kweli aliijaza mijizi na mijitu isiyo na shukrani leo hii tumeona makucha yao

Anonymous said...

Semaaa na kweli sema

Anonymous said...

Duh huyu jamaa anazo akili kweli.

Anonymous said...

Wote Lao moja

Anonymous said...

Hawa watu MafiSIEM ni WASANII

Anonymous said...

Wale wasio mwamini Dr.Magufuli endeleeni na U-Thomas wenu tu lakini #Hapa ni Kazi tu.