Mtoto wa marehemu Frederick Ketang'enyi akiwa amebeba msalaba katika makaburi ya Kinondoni kwenye mazishi ya mpendwa mama yake yaliyofanyika siku ya Jumamosi Octoba 10, 2015 jijini Dar.
Wanafamilia wakiwa wamebeba jeneza lililobeba mwili wa mpendwa dada, mama bibi Bettisheba Ketang'enyi katika kumpumzisha katika nyumba yake ya milele kulikofanyika siku ya Jumamosi Octoba 10, 2015 katika makaburi ya Kinondoni jijini Dar es Salaam.
Padri akiongoza ibada ya mazishi katika makaburi ya Kinondoni jijini Dar
Ibada ya mazishi ikiendelea
Shada la maua likiwekwa
Watoto wa marehemu wakiwa mbele wakifuatilia mazishi ya mpendwa mama yao yaliyofanyika siku ya Jumamosi Octoba 10, 2015 katika makaburi ya Kinondoni jijini Dar.
Dada, mama, Bibi akilazwa katika nyumba yake ya milele.
Kutoka kushoto ni watoto wa marehemu Yvonne Nzota Matinyi, Frederick Ketang'enyi na mkewe.
Kutoka kushoto ni Mobare Matinyi( Mume wa Yvonne) Yvonne Nzota Matinyi, Frederick Ketang'enyi na mkewe na Mr. Simms.
Padri akiweka udongo kwenye kaburi.
Frederick Ketang'enyi akiweka udongo.
Mke wa Frederick Kietang'enyi akiweka udongo.
Yvonne Matinyi akiweka udongo
Mobare Matinyi akiweka udongo.
Wanafamilia wakiendelea kuweka udongo.
Wanafamilia wakiendelea kuweka udongo.
Wanafamilia wakiendelea kuweka udongo.
Kutoka kushoto ni Frederick Ketang'enyi na mkewe na Mr. Simms.
Mmoja ya mwanafamilia.
Wanafamilia wakiwa na majonzi.
Padri akiweka shada la maua.
Mtoto wa marehemu Felicia Simms akiweka shada la Maua.
Yvonne Matinyi akiweka shada la maua.
Frederick Ketang'enyi na mkewe wakiweka shada la maua.
Wantiku na wanafamilia wakiweka shada la maua.
Wanafamilia wakiweka shada la maua.
Shada la Maua.
Mhe. Stephan Wasira akiweka shada la maua.
Mwanafamilia akiweka shada la maua.
Mwanafamilia akiweka shada la maua.
Wanafamilia wakiweka shada la maua.
Wanafamilia wakiweka shada la maua.
Mwanafamilia akiweka shada la maua.
Wanafamilia wakifuatilia mazishi ya mpendwa mama yao.
Mwanafamilia akiweka shada la maua.
Mwanafamilia akiweka shada la maua.
Wanafamilia wakiweka shada la maua.
Mashada ya maua.
Frederick Ketang'enyi akitoa neno la shukurani
No comments:
Post a Comment