Makamu Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Zanzibar, Said Issa Mohamed,z (wa pili kushoto) akiwa na kutoka kulia aliyekuwa mbunge viti maalum Chadema, Rose Kamili, mwenyekiti Bawacha mkoa wa Geita, Husna Amri na Mwenyekiti Mstaafu wa CCM mkoani Dar es Salaam, John Guninita wakisali kumuombea dua aliyekuwa Mwenyekiti ya NLD, Emmanuel Makaidi wakati wa mkutano wa kampeni kati ofisi za Chadema Wilaya Hanang mkoa wa Manyara.
Makamu Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Zanzibar, Said Issa Mohamed akizungumza na wananchi wakati wa mkutano wa kampeni za kumuombea kura mgombea urais wa Chadema, wabunge na madiwani wa ukawa katika viwanja vyua Manyema mkoani Moshi.
Makamu Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Zanzibar, Said Issa Mohamed akimnadi kwa mgombea ubunge Jimbo la Moshi Mjini, Meya wa Manispaa ya Moshi, Jaffar Michael wakati wa mkutano wa kampeni za kumuombea kura mgombea urais wa Chadema, wabunge na madiwani wa ukawa katika viwanja vyua Manyema mkoani Moshi.
Wananchi wakimsikiliza makamu mwenyekiti Chadema Taifa, Zanzibar, Said Issa Mohamed wakati wa mkutano wa kampeni za kumuombea kura mgombea urais wa Chadema, wabunge na madiwani wa ukawa katika viwanja vyua Manyema mkoani Moshi.
Wananchi wa Siha wakijifunza jinsi ya kukunja karatasi za uchaguzi wakati makamu mwenyekiti Chadema Taifa kutoka Zanzibar, Said Issa Mohammed (hayupo pichani) wakati wa mkutano wa kampeni katika ofisi za kijiji Koboko Kusini
Wananchi wa Siha wakijifunza jinsi ya kukunja karatasi za uchaguzi wakati makamu mwenyekiti Chadema Taifa kutoka Zanzibar, Said Issa Mohammed (hayupo pichani) wakati wa mkutano wa kampeni katika ofisi za kijiji Koboko Kusini.
Makamu Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Zanzibar, Said Issa Mohamed akizungumza na aliyekuwa mbunge wa Moshi Mjini, Philemon Ndesamburo wakati wa mkutano wa kampeni za kumuombea kura mgombea urais wa Chadema, wabunge na madiwani wa ukawa katika viwanja vyua Manyema mkoani Moshi.
No comments:
Post a Comment