Mkurugenzi Mkuu wa Takukuru nchini, Dkt. Edward Hoseah akizungumza katika sherehe za uzinduzi wa jengo la ofisi mpya ya TAKUKURU Mkoa wa Mbeya ambapo amesema kuwa Taasisi hiyo imeweza kufanikiwa kupambana na rushwa kwa kiasi kikubwa ambapo jumla kesi kubwa za rushwa 1,993 kuanzia mwaka 2004-2015 zimeweza kufunguliwa ambazo ni sawa na ongezeko la asilimia 81 ikilinganishwa na kesi 384 zilizokuwepo miaka 10 ilioyopita (1995-2004)
Amesema ,ongezeko hilo la kesi kubwa limetokana na jitihada za Taasisi hiyo katika kupambana na kuzuia rushwa nchini hasa katika kipindi cha serikali ya awamu ya nne, chini ya rais Jakaya Kikwete.
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Abbas Kandoro akitoa salama za mkoa wa mbeya katika hafla ya uzinduzi wa jengo la Takukuru Mkoa wa Mbeya .
Mkuu wa Takukuru Mkoa wa Mbeya xavery Mhyella akatoa taarifa ya Takukuru Mkoa wa Mbeya mbele ya Mgeni rasmi katika hafla hiyo ambayo imehudhuriwa na Mkurugenzi wa Mkuu Takukuru nchini Dkt, Edward Hosea Octobar 5 mwaka huu..Picha na Emanuel Madafa ,Jamiimojablog Mbeya
Mkaguzi Mkuu wa Kanda Takukuru Ndugu Joice Shundi akizungumza katika hafla hiyo.
Wanafunzi wa shule ya sekondari Wende wakitoa burudani za ngoma za asili katika uzinduzi huo wa jengo la ofisi mpya ya Takukuru Mkoa wa Mbeya .
Baadhi ya Viongozi mbalimbali wa dini waliohudhuria hafla hiyo ya uzinduzi wa jengo zilizopo eneo la forest ya zamani karibu na Mahakama kuu jijini Mbeya.
4 comments:
very interesting statistics - real? big NO. I thought corruption has increased under this awamu, may be Hosea is in a different country or out of touch with reality. Escarow wamekula, no action taken and some continue to be judges and some will be elected to continue being MPs - hence easy access to billions of poor Tanzanians.
Really? What a statement and what a joke!
Simple Math:1993>384, and therefore, Awamu ya Nne saw tremendous improvements relative to Awamu ya Tatu. It is true that kuna Mafisadi wengi hawajanyakwa, lakini naamini wapo kwenye radar ya Takukuru. Personally, I am impressed by the efforts, and Takukuru deserve some credits. I am convinced they are on the right track and would like to encourage them to keep up the good work.
Ni aibu kwa taifa na waTanzania kwa kauli kama hii tena ndiye kiongozi wa hiyo taasisi. Ni vyema ukaachia ngazi mwenyewe. This is very shame !! Wala shurwa wamo ndani ya uongozi.
Post a Comment