Advertisements

Thursday, October 8, 2015

MSIBA DMV NA TANZANIA

Familia ya Bw Mac Damas na mkewe Margareth Taylor wamepata msiba wa Bibi yao Margareth(Mkuu) aliyefariki leo mchana kwa majira ya Tanzania(Asubuhi hapa Marekani). Kupeana pole ndio ustaarabu wetu ukipata nafasi pita nyumbani kwa wafiwa na kuwafariji anuani nyumbani wa wafiwa ni 
11440 Stewart Lane A1 
Silver spring MD 20904.
au waweza piga simu 2406157402

Raha ya milele umpe eh Bwana na Mwanga wa milele umwangazie,apumzike kwa amani-Amina.

No comments: