ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, October 7, 2015

MSIBA MAREKANI NA TANZANIA

Familia ya Aminieli Mrutu wa Kibamba Dar Es salaam inasikitika kutangaza msiba wa Joan Mrutu, mama mzazi wa Agnes Mrutu mkazi wa Columbia Missouri na Stephen Mrutu mkazi wa Minesota, Mipango ya mazishi inaendelea nyumbani kwa marehemu Kibamba Dar Es Salaam. mfiwa anatarajiwa kusafiri kuhudhuria mazishi. Kwa taarifa zaidi tafadhali wasiliana na Joseph Mwamgiga Cell # 5053078479 na Agnes Mrutu Cell # 5054005933

No comments: