ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, October 15, 2015

OPIC Expanding Horizons 2015 - A Workshop for Small Businesses Entering Emerging Markets.

DR. LAWRENCE SPINELLI 
Dr. Spinelli is the Director of Outreach and Public Affairs at the Overseas Private Investment Corporation (OPIC) which is the U.S. government’s development finance institution.  Akiongea mbele ya wahudhuriaji wakati wa Keytone Lucheon. 


  
Wa kwanza kutoka kushoto ni Moderator wa Mkutano Ms. Paula Murphy, wa pili ni Panel Spekers Mr. James Paul,  U.S. Department of Commerce U.S. Commercial Service, Director, Boston Office. wa tatu ni John Joyce, U.S Small Business Administration, Office of International Trade, Regional Manager, na wa nne ni Mr Tom Hardy. U.S. Trade and Development Agency, Director for Congressional Affairs and Public Relations. Wote kwa pamoja walifafanua madhumuni ya mkutano huu uliokutanisha wajasiriamali kutoka sehem mbalimbali za Marekani na Africa. Dhumuni hasa ya mkutano huu ni kutoa fursa  ya mikopo ya gharama nafuu kwa watu wenye nia ya kuanzisha biashara au kufungua company binafsi. Njia za kufuata, faida zake na mambo mengine ya jinsi gani mikopo kama hiyo ina weza kusaidia kujikwamua kimaisha kwa watu wa Diaspora wanaotaka kufanya hivyo huko Africa.

Alison Germak
Director, Corporate Development
Washington D.C. Metro AreaInternational Trade and Development.

 President wa Temba Engineering Service New York, Dr Temba akiuliza swali kwenye mkutano huo.

Benedict Kazora, MSEE, MBA 
Eastern Africa Diaspora Business Council (EADBC), 
Verizon akiuliza swali.

Ny Ebra wa New York akibadirishana mawazo na Benedict Kazora kutoka Dallas. Kazora ni  President of Eastern African Diaspora Business Council.

 Dr Temba na washirikia wengine kutoka Africa wakifuhatiria kwa makini kinachozungumzwa mkutanoni hapo.

Mkutano huu ulifanyika  ndani ya ukumbi wa Westin Boston Waterfront Boston, Massachusetts siku ya tarehe 13 hadi 14 Oct , Kwa picha zaidi nenda soma zaidi.


No comments: