Advertisements

Sunday, October 4, 2015

PITA PITA YA VIJIMAMBO WEEKEND NEW YORK

Naibu mwakilishi wa kudumu wa Tanzania katika Umoja wa Matifa Mhe. Balozi Ramadhani Mwinyi akiongea mbele ya wageni waalikwa  nyumbani kwa Mhe. Balozi Tuvako Manongi. Mhe. Balozi Manongi aliandaa get together nyumbani kwake  New York siku ya jumammosi jioni na kuwakaribisha wafanya kazi wa Ubalozi New York, wageni kutoka Tanzania foreign Affairs na viomgozi wa New York Tanzania Community kwa Chakula cha jioni na vinywaji huko nyumbani kwake New York.



Balozi wakudumu Tanzania katika Umoja wa Mataifa katikati Mhe. Tuvako Manongi na kulia kwake na Mama mwenye nyumba wake wakimsikiliza Balozi mwinyi pichani juu.
 Mwenyekiti wa Tawi la CCM New York Mr. Seif Akida alikuwepoa nae kwenye chakula hicho.



Dr Temba wa Temba Engineering Service nae alikuwepo.


 Hapa ni Dr Abbas  Byabusha akiwa na Officer Ubalozi New York 
Kwa Picha zaidi nenda soma zaidi hapa chini

No comments: