Advertisements

Friday, October 9, 2015

PUSH-UP ZA MAGUFULI ZAHAMIA MAREKANI

Mtoto Jayden (mtoto wa Halima Ally) akifanya push-up kama anavyofanya mgombea urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi Mhe. John Pombe Joseph Magufuli, Jayden ni mkaazi wa Maryland nchini Marekani.
Jayden akifuata nyayo za mama yake Halima Ally ambaye ni muumini wa CCM

No comments: