Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimpongeza kwa furaha mshindi wa kinyang'anyiro cha Urais kwa tiketi ya CCM na Rais Mteule Dkt John Pombe Joseph Magufuli mara baada ya Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji Damian Lubuva kutangaza kutangaza rasmi matokeo ya uchaguzi mkuu Ikulu jijini Dar es salaam ambako walifuatilia kwa pamoja matangazo hayo ya moja kwa moja kupitia vituo vya televisheni jioni hii Oktoba 29, 2015.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimsomea sms za pongezi kutoka kila pembe ya dunia mshindi wa kinyang'anyiro cha Urais kwa tiketi ya CCM na Rais Mteule Dkt John Pombe Joseph Magufuli mara baada ya Mwenyekiti wa Taifa wa Tume ya Uchaguzi Jaji Damian Lubuva kutangaza rasmi matokeo ya uchaguzi mkuu Ikulu jijini Dar es salaam ambako walifuatilia kwa pamoja matangazo hayo ya moja kwa moja kupitia vituo vya televisheni jioni hii.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimpongeza kwa furaha mshindi wa kinyang'anyiro cha Urais kwa tiketi ya CCM na Rais Mteule Dkt John Pombe Joseph Magufuli mara baada ya Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji Damian Lubuva kutangaza kutangaza rasmi matokeo ya uchaguzi mkuu Ikulu jijini Dar es salaam ambako walifuatilia kwa pamoja matangazo hayo ya moja kwa moja kupitia vituo vya televisheni jioni hii Oktoba 29, 2015.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimpongeza kwa furaha mshindi wa kinyang'anyiro cha Urais kwa tiketi ya CCM na Rais Mteule Dkt John Pombe Joseph Magufuli mara baada ya Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji Damian Lubuva kutangaza kutangaza rasmi matokeo ya uchaguzi mkuu Ikulu jijini Dar es salaam ambako walifuatilia kwa pamoja matangazo hayo ya moja kwa moja kupitia vituo vya televisheni jioni hii Oktoba 29, 2015.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimpongeza kwa furaha mshindi wa kinyang'anyiro cha Urais kwa tiketi ya CCM na Rais Mteule Dkt John Pombe Joseph Magufuli mara baada ya Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji Damian Lubuva kutangaza kutangaza rasmi matokeo ya uchaguzi mkuu Ikulu jijini Dar es salaam ambako walifuatilia kwa pamoja matangazo hayo ya moja kwa moja kupitia vituo vya televisheni jioni hii Oktoba 29, 2015.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimpongeza kwa furaha mshindi wa kinyang'anyiro cha Urais kwa tiketi ya CCM na Rais Mteule Dkt John Pombe Joseph Magufuli mara baada ya Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji Damian Lubuva kutangaza kutangaza rasmi matokeo ya uchaguzi mkuu Ikulu jijini Dar es salaam ambako walifuatilia kwa pamoja matangazo hayo ya moja kwa moja kupitia vituo vya televisheni jioni hii Oktoba 29, 2015.
Mama Salma Kikwete akimpongeza mshindi wa kinyang'anyiro cha Urais kwa tiketi ya CCM na Rais Mteule Dkt John Pombe Joseph Magufuli mara baada ya Mwenyekiti wa Tais kutangaza matokeo ya uchaguzi mkuu Ikulu jijini Dar es salaam ambako walifuatilia kwa pamoja matangazo hayo ya moja kwa moja kupitia vituo vya televisheni
jioni hii.
Mshindi wa kinyang'anyiro cha Urais kwa tiketi ya CCM na Rais Mteule Dkt John Pombe Joseph Magufuli akipokea salamu za pongezi kutoka kwa mgombea Urais Mwanamke Pekee kwa tiketi ya ACT Wazalendo Mama Anna Mghira mara baada ya Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji Damian Lubuva kutangaza kutangaza rasmi matokeo ya uchaguzi mkuu Ikulu jijini Dar es salaam ambako yeye na Rais Jakaya Mrisho Kikwete walifuatilia kwa pamoja matangazo hayo ya moja kwa moja kupitia vituo vya televisheni. Dkt Magufuli amemshukur sana Mama Mghwira na kumwita mkomavu wa siasa na mwana-Demokrasia wa mfano jioni hii.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea kwa furaha mshindi wa kinyang'anyiro cha Urais kwa tiketi ya CCM na Rais Mteule Dkt John Pombe Joseph Magufuli mara baada ya Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji Damian Lubuva kutangaza rasmi matokeo ya uchaguzi mkuu Ikulu jijini Dar es salaam ambako walifuatilia kwa pamoja matangazo hayo ya moja kwa moja kupitia vituo vya televisheni jioni hii.
19 comments:
Hongera Dr Magufuli na Shukran sana Mhe Rais Kikwete kwa kusimamia utaratibu wa wazi ambao umeimarisha demokrasia nchini kwetu. Mungu akubariki sana. Kazi kubwa mbele yetu ni kukuza na kujenga viongozi na utaratibu wa kukubali pale wanaposhindwa. Mungu Ibariki Tanzania.
Bao la mkono Hilo
Wanapeana nchi Kwa kujuana hili walindane maovu Yao mungu mkubwa watajuta baadae
Inasikitisha sana kuiona Tanzania kisiwa cha amani ikielekea kwenye machafuko. Silaha za kivita ni za nini mitaani?? Hii furaha yenu ni ya muda tu. Subirini mtaona.....
huyo wa ACT ni kama jina lao act...wana act tu...kumbe ni ccm ...ujinga ila ndiyo bongo na ndiyo maana wachache wata tawala shauri ya wengi kusikiliza upuuzi na kukubali vituko
Hongera Rais mteule Dr. Magufuli, Mwenyezi atakulinda na kukurehemu katika changamoto zote na kuleta amani na maendeleo Tanzania.
Mrudishie Lowasa chenji zake,pengine unapata shida jinsi ya ku-justify matumizi.kwa kifupi tumemkata.
Tusaka nyumbu wasiojielwa,wanaotumiwa bila kujielewa.
Huyo Lowasa unaempigania hana maovu.Hata kama una tatizo la kuwa na short memory huwezi jitoa ufahamu kiasi hiki wake up loool
Hivi lile Chagadema walilo kuwa wanalitengeneza na mamluki wa IT lilikuwa liwe la mkono au kichwa?
Kikwete ni mzalendo wa kweli ni mtu mweye kuitakia mema nchi yake. Kikwete ni mtanzania wa kweli sio mchezo pengine mimi na wewe jeshi tunalisikia tu lakini kikwete amekia jeshini na ni miongoni wa wanajeshi watanzania waliotukuka kabisa kwa nyie mnaokaa mkaropokwa hovyo kuhusu kikwete mjue ya kwamba kama hii leo itatokezea emergency Tanzania kuvamiwa na kuingia katika mgogoro wa kivita basi muheshimiwa kikwete ni moja ya makanda wa nguvu kabisa tutakao wategemea kutuongoza katika mapambano . Ujinga wetu sisi watanzania hatukai chini na kuanza kuwafahamu viongozi wetu wametokea wapi mpaka tuwaona hapa walipo matokeo yake tunakuja kupotoshwa na watu wa hovyo kabisa. Asikudanganye mtu, kikwete ni mzalendo na mwenye uchungu na Tanzania mara elfu moja kuliko hao watu wa ukawa unaoamini wewe ni wazelendo. Urafiki wa kikwete na lowasa kama yeye mwenyewe lowasa alivyosema si urafiki wa kukutana barabarani na kikwete analijua hilo . Kwa maana hiyo kikwete anamuelewa lowasa kuliko hao akina Mbowe waliekutana nae barabarani. Lakini lilipokuja suala la maslai ya nchi kikwete alikuwa na mtihani mgumu mno wa kuchagua kati ya kuweka maslahi ya rafiki yake mbele au maslahi ya nchi kwanza? Kikwete ameamua kuweka maslahi ya Taifa kwanza kwa kumpendekeza mgombea ambae aliamini kama tulivyoamini watanzania wengi ni bora na tegemeo jipya kwa maslahi ya nchi yetu, sasa nyie mnaopita mkiropokwa mitandaoni na mitaani kuhusu kikwete kwa kweli hata huyo lowasa mwenyewe moyoni anawashangaaeni kwa sababu nyie mnabakia lowasa,lowasa lowasa? Kweli nyie mnamjua lowasa kama kikwete anavyomfahamu lowasa?
Huyu magufuli Mbona hainekani na mke wake?
Watanzania wataendelea kukaa gizani na kuteka maji kwa ndoo miaka kingine mitano
Kwasababu Lowasa alikuahidi kukutekea maji au.!
Hilo sio swala lako.Raisi wa Botswana hana mke na nchi inasonga mbele.
Magufuli haonekani na mkewe kwa sababu yeye anaamini kama alikuwa yupo kwenye kampeni basi alikuwepo kazini na hata katika siku hizi alizokuwa akisubiria matokeo basi muheshimiwa magufuli alikuwepo kazini kuwatumikia watanzania na hata hii leo alipotangazwa kuwa raisi mteule magufuli anaamini yupo kazini kuwatumikia watanzania lakini akirudi nyumbani of course first lady is there or maybe because she's a public servant as a teacher she got take care her students some where, lakini kwa kifupi magufuli hapa kazi tu .
Watu kama Mbowe na Mbatia ni nini hasa wamelifanyia taifa la Tanzania. Nawaona tu wanajifanya kama bila wao nchi haewezekani. Hawa vijana waroho sana wa madaraka wakamuongeza mroho mwingine wa madaraka Lowassa. Watuambie wamewafanyia nini la maana watanzania, nawaona wanapendana sana kutisha toto mambo ya vurugu, kushinikiza vijana wasiokuwa familia zao wafanye machafuko. Lakini wakae wakijua yakianzaa wao vile vile extended familia zao yatawafika.
Huyu jamaa yuko single?mkewe yuko wapi?I mean mr magufuli
Jamani kwani mbowe yuko single mkewe yuko wapi?
Post a Comment