ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, October 22, 2015

RAIS KIKWETE AWAAPISHA MSAJILI WA MAHAKAMA YA RUFAA NA MSAJILI WA MAHAKAMA KUU YA TANZANIA

 Mhe. John Lugalema  Kahyoza akila kiapo mbele ya Rais Jakaya kikwete baada ya kuteuliwa kuwa Msajili wa Mahakama ya Rufaa mapema hii leo Ikulu jijini Dar es Salaam, awali mhe. Kahyoza alikuwaMsajili Mahakama Kuu ya Tanzania.
 MheKatarina Tengia Revocati akila kiapo mbele ya Rais Jakaya kikwete baada ya kuteuliwa kuwa Msajili Mkuu  wa Mahakama  mapema hii leo Ikulu jijini Dar es Salaam, awali  Mhe. Katarina alikuwa Msajili wa Mahakama ya rufani.
 Waheshimiwa John Lugalema  Kahyoza na Bi. Katarina Tengia Revocati wakisubiri kuapishwa na Rais Jakaya Kikwete mapema hii leo Ikulu jijini Dar es Salaam.

 Viongozi na Wageni mbalimbali wakisubiri tukio la kuapishwa kwa waheshimiwa John Lugalema Kahyoza na Bi. Katarina Tengia Revocati mapema hii leo Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais Jakaya Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na majaji wanawake waliohudhuria sherehe za kuapishwa wa heshimiwa John Lugalema  Kahyoza na Bi. Katarina Tengia Revocati mapema hii leo Ikulu jijini Dar es Salaam.
Picha zote na Eliphace Marwa – Maelezo.

1 comment:

Anonymous said...

Hongera sana Mheshimiwa Katarina Revocati, MUNGU akibariki sana na aendelee kukupaisha.
Nakumbuka sana wakati ukianza kazi RM Mbeya, ukiwa msichana, kweli MUNGU ni mwema.

Mimi nimefuahi sana na namshukuru sana BWANA YESU jinsi anavyokuinua siku baada ya siku, natumaini kabisa wewe ndiye utakayekuwa Jaji Mkuu wa kwanza mwanamke wa TZ.
AMEN.