ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, October 13, 2015

RAIS KIKWETE AZINDUA MRADI WA UMEME GESI ASILIA KINYEREZI

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akikata utepe na kufunua kitambaa katika jiwe la msingi kuzindua rasmi mtambo wa kufua umeme kutokana na Gesi Asilia huko Kinyerezi jijini Dar es Salaam.Mradi huo umejengwa kwa gharama ya shilingi bilioni 400.Kushoto ni mwakilishi wa benki ya African Development Bank(ADB) Bi Tonia Kandiero na kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa TANESCO Bwana Felchesmi Mramba.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akitembelea mradi wa kufua umeme kutokana na gesi asilia muda mfupi baada ya kuzindua mradi huo huko Kinyerezi jijini Dar es Salaam leo.
(Picha na Freddy Maro) 

2 comments:

Anonymous said...

Uza sura Kila kona
Ufunguzi mlisubiri lala salama ya uchaguzi
Tuliyazoea miaka 50 iliyopita
Watanzania si wajinga tena
Ni Lowassa Lowassa
Hata mfungue akhera Nono Nono Nono CCM

Anonymous said...

Lowassa haingii Ikulu.