Saturday, October 24, 2015

RAIS MSTAAFU ALI HASSAN MWINYI KURA YAKE KWA MAGUFULI

5 comments:

Anonymous said...

Mwaka huu inaonekana kweli ccm imebanwa sana. manake inatumia mpaka akiba zake zote za wazee. Lakini hapa Lowassa tu

Anonymous said...

Upuuzi! Wewe kalia kusubiri siku ya Fisadi ENL kuwa rais, lakini siku hiyo haitakaa ije!

Anonymous said...

Andikeni sasa yale yote mnayotaka kuandika kwani muda uliosalia ni mfupi mno na baada ya hapa sijui kama mtakuwa na mengine ya kuandika tena. Lowassa wenu haingii Ikulu na tayari ameshaeleza azma yake ya kurudi kijijini kwao kwenda kuchunga ng'ombe!

Magufuli Oyeeeee!!!!!!!!!! CCM Oyeee!!!!!

Anonymous said...

Watu wote wa ccm ni mafisiEM na ni WASANII

Anonymous said...

Chadema na Ukawa yenu si chochote na Ikulu hamtaingia daima. Sana sana wiki ijayo mtu wenu akienda kuchunga ng'ombe na kuwaacha kwenye mtaa ndiyo mtaona jinsi gani chama au vyama vyenu vinavyo sambaratika. Poleni sana na hili ndilo litakuwa fundisho kwenu hapo baadaye kwani waswahili walishasema "uisache mbachao kwa msala upitao".