ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, October 15, 2015

SHUKURANI ZA DHATI

Kwa niaba ya familia ya Mzee Ketang'enyi na familia ya Mzee Musika, wanapenda kutoa shukurani za DHATI kwa watu wote mlioshiriki kwa namna moja au nyingine katika kufanikisha safari ya mpendwa wao Mrs Bettisheba Pole Ketang’enyi katika nyumba yake ya milele huko Tanzania.
Shukurani zetu za pekee:-
1. Father Lehandry kimario USA
2. Ubalozi wa Tanzania USA
3.Mkurugenzi wa Kwanza Production USA
4. Mkurugenzi wa vijimambo USA
5. Mkurugenzi wa swahilivilablog USA
6. Madakitari na wauguzi wa NIH Maryland
7. Watanzania wote wa USA
8. Wadau wa Collins Funeral Home USA

Mungu atawalipa kwa UKARIMU wenu na aendelee kutupa nguvu na moyo wa subira, uvumilivu na upendo daima. "ZABURI 106:1"
Asanteni sana na mungu awabariki.
Taraba Daudi 5713327224

No comments: