ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, October 15, 2015

Tanzania na harakati dhidi ya mauaji ya Albino: Balozi Manongi


Balozi Tuvako Manongi, mwakilishi wa kudumu wa Tanzania kwenye Umoja wa Mataifa. (Picha:UN/Idhaa ya Kiswahili/Joseph Msami)

Katika makao makuu ya Umoja wa Mataifa wakilishi wa kudumu wa Tanzania kwenye Umoja wa Mataifa Balozi Tuvako Manongi amezungumza na waandishi wa habari kuhusu hali ya mauaji ya albino nchini Tanzania na kile ambacho kinafanyika kuondokana na vitendo hivyo ambavyo ameviita ni janga. Assumpta Massoi wa Idhaa ya Kiswahili ya Radio ya Umoja wa Mataifa alizungumza na Balozi Manongi kuhusu hali ilivyo na kwanza alianza kwa kugusia filamu iitwayo A Boy from Geita itakayoonyeshwa kwenye Umoja wa Mataifa siku ya Alhamisi.



No comments: