Advertisements

Sunday, October 11, 2015

TASWIRA YA BABY SHOWER YA AMY ILIVYOFANA HUKO FITCHBURG. MA


Baby shower ya Amy yafana sherehe hiyo ya baby shower ya mama kijacho ilifanyika mji wa Fitchburg, MA siku ya Tarehe 10th na kuhudhuriwa na ndugu na jamaa kutoka sehem mbalimbali. Kama unavyojua kwenye sherehe ya baby shower wageni waalikwa uleta zawadi sambamba na kula chakula na vinywaji kiroho safi.

Mama kijacho akiingia ukumbuni pamoja ma mume wake kwa style ya malavidave wakiwa wenye nyuso za furaha.

 Jerry akicheza mziki pamoja na mke wake ukumbini hapo

Mama mzazi wa mama kijacho wakicheza mziki pamoja na baba kijacho

Ndugu na marafiki wakipata kitu roho inapenda kutoka kwa Dj Masoud kutoka Boston kiroho safi

Mama kijacho na baba kijacho wakipata ukodak kwenye meza kuu,

MC Steve akisherehesha sherehe hiyo
Dj Masoud kutoka Boston ndiyo alikuwa mtoa burudani ukumbini hapo. Kwa taswira zaidi nenda soma zaidi.



No comments: