Advertisements

Tuesday, October 13, 2015

TASWIRA YA MATUKIO YALIYOTOKEA KWENYE BABY SHOWER YA AMY HUKO FITCHBURG. MA SIKU YA JUMAMOSI



Mama Kijacho na baba Kijacho wakikata keki tayari kwa kulishana.

 Baba Kijacho akimlisha keki mama Kijacho wake kwa raha zao

 Baba Kijacho akimfuta mama Kijacho wake baada ya kumlisha keki
  Mama Kijacho akimlisha kipande cha keki baba Kijacho wake, 
Kaka wa mama Kijacho akiongea

Mama wa mama Kijacho akiongea.

Mama Kijacho akisakata rhumba na mama yake mzazi.
kwa taswira zaidi ya matukio yaliyokuwa yametokea ukumbini hapo jitiririshe kwenye 
soma zaidi.

No comments: