Monday, October 26, 2015

TUME YA UCHAGUZI YATOA MATOKEO YA AWAMU YA TATU KWA MAJIMBO KUMI NA MOJA (11) YA UCHAGUZI KWA NGAZI YA URAIS














2 comments:

Anonymous said...

Tume ya UCHAGUZI NA SERIKALI kwa ujumla uendeshaji wa kura unaotumika katika enzi hii ya technolojia ni ya kizamani saana. Wizi uliokithiri kwa kura Tanzania kweli umebobea. hatuna sababu kabisa ya kuwa na vyama vingi kwani hakki haitendekihata siku moja. uchaguzi huu tumeshuhudia visa na wizi kwa wingi. Takwimu zinazotolewa zilishapangwa ndani kwa ndani siku hata kabla ya uchaguzi. Kulindana kuko palepale basi mh. unaepokea kijiti turejeshee zile fedha za EsCroW..

Anonymous said...

Kwani nyinyi mnaridhika na kitu chochote? Hao wasimamizi kutoka jumuiya zote waliokwenda nchini kushuhudia shughuli za uchaguzi ulivyoendeshwa mpaka sasa wameridhishwa nazo wewe bado unataka kitu gani zaidi kifanyike? Usiwadanganye Watanzania ambao labda hawajabahatika kuona chaguzi za nchi mbali mbali duniani, ukweli unajulikana kuwa kuna nchi nyingi tu zinatumia teknolojia kama hii na pia kuna nyingi ambazo bado zinatumia teknolojia ya zamani kuliko hata hii ya kwetu. Tunajua wenzetu kazi yenu ni kulalamika tu. Poleni sana. Ingekuwa ni mimi badala ya kuendelea kulalamika ningechukulia matokeo haya kama fundisho na sababu ya kujiuliza wapi nilikosea ili nijipange vizuri kwa chaguzi zijazo.